Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishaoa milango ya rizk inafunguka mkuu ukiwa na mwanamke mwerev hyo laki tatu mtapanga matumizi na itatosha kabisaa..
Ukiwa single hyo laki tatu kwa mwezi haitosh hapo haujala na bado haujawa na michepuko miwili au mitatu ..ukioa utapunguza zinaa na anasa so hyo hela inatosha kabisaaa
Ni mwendo Wa vikoba tu...
hahaaha...Hii take home inakufanya uwe na hasira na kila mtu, hata akiuliza njia unamfokea tu kwamba kwanini akuulize wewe kakuonaje. Mungu mkubwa
Eti eeh!!Pesa haijawahi kutosha.
Mtu anaishi kwa kipato chake ndio maana utashangaa anayelipwa laki 3 na anayelipwa milioni wote maisha yanakwenda fresh tu.
Ndio mshahara wake sasa apambane nao tu kikubwa tu apunguze au aache maisha ya anasa