Mliooa Single mother na wale wenye mpango huo, hebu msikilizeni huyu mwamba

uno kama loteeee yaani huyu single mama wa kidigoo sii mchezo penzi lake lazima nidate
Safi kabisa enjoy mkuu mpaka pale utakapo anza kuhitaji utulivu wa familia zaidi ya ngono ndio utageuka kua mwandishi mzuri wa nyuzi kuhusiana na Single Mother's hapa JF tena utakua na uzoefu wa kutosha
 
Itakua wewe ni single father mwenye uchumi wa kusua sua
Kudai single mother lazima ampe mzazi mwenzie ni fikra za kijinga,hao ambao hawakuzaa hawawapi wapenzi wao wa zamani!?..kwa hiyo unatakiwa kuchunguza ikiwa mzazi mwenzie single mother ana kipato cha kusuasua au las!?.. single mother wanagongwa na wazazi wenza ni wale tu wenye wazazi wenza wenye vipato imara!?..waliobikiri hao wake zenu hawakumbukwi?
 
Shauri yako 🤣🤣 endelea kusema ni fikra za kijinga mpaka siku uje ushituke utakua umechelewa na utakua unaagwa kabisa na uyo single mother wako kwamba anapeleka mtoto akamsalimie Baba yake kisha mkeo akirudi anaanzia bafuni
 
Hii misemo huwa ina wacost sana men and women
Hakuna guarantee kwenye maisha,maisha hayana formula,

Mimi sijaoa single mother ila kila mtu ana haki ya kufanya maamuzi ya maisha yake,

Wapo walio owa single mother na wanaishi vizuri tu,pia wapo walio owa Bikra ila huko mbeleni ndoa ikawa ni ya mateso na kuishia kuachana,That's life.
 
Shauri yako 🤣🤣 endelea kusema ni fikra za kijinga mpaka siku uje ushituke utakua umechelewa na utakua unaagwa kabisa na uyo single mother wako kwamba anapeleka mtoto akamsalimie Baba yake kisha mkeo akirudi anaanzia bafuni
 
Attachments

  • IMG_20240827_155511.jpg
    IMG_20240827_155511.jpg
    212.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom