Mliooa Single mother na wale wenye mpango huo, hebu msikilizeni huyu mwamba

Mliooa Single mother na wale wenye mpango huo, hebu msikilizeni huyu mwamba

upo sahihi , japouhalisia wa mambo unasema mwanaume anapimwa kwa future yake na mwanamke anapimwa kwa past yake
Mkuu kwa kujua au kutokujua hiyo kanuni kila mtu anaitumia .
Kwa wale wajuaji wanaopingana na hiyo kanuni tunajua nin huwa kinawapata
 
Kwanza kabisa hakuna mechi inayo anzaga moja bila hata kwenye game hakunaga hiyo kitu alafu Kuoa single maza ni kujitakia matatizo tuu wengi wao hua wana hulka flani ya hovyo kama vile walizaliwa na kulelewa na mzazi mmoja, akijaa kwenye laini piga pita vile kama alishindwana na huyo wa kwanza hata wewe sio malaika yawezekana mkashindwana pia
 
Amesema "Why are you wanting to become a stepfather?".

Sentensi hiyo ni sahihi.

Wewe ndiye umekosea kusikia "Why are you want" wakati yeye kasema "Why are you wanting".

Wewe ndiye umekosea.
😉
 
Amesema "Why are you wanting to become a stepfather?".

Sentensi hiyo ni sahihi.

Wewe ndiye umekosea kusikia "Why are you want" wakati yeye kasema "Why are you wanting".

Wewe ndiye umekosea.
Ok nimesikia vibaya.
 
Kwamba bado kuna mtu ni kichwa kigumu hadi leo bado tu anahitaji clarification ya hili suala?
 
Back
Top Bottom