Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
Uyo haoi single mother anajaza watu upepo wakapotee 🤣min -me anaenda kuoa single maza😂 nimecheka sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo haoi single mother anajaza watu upepo wakapotee 🤣min -me anaenda kuoa single maza😂 nimecheka sanaa
Mwache huenda amejipanga....Mwenyezi Mungu asiiache nia yakeDahh! Kataa ndoa imemponza min akee🥹
Na wewe fanya mchakato, usingle m'baya mtu ukizeeka hauna hata wa kupiga nae story muda huo watoto wameondoka nyumbaniMwache huenda amejipanga....Mwenyezi Mungu asiiache nia yake
🤣🤣🤣Nitampata uzeeni cute...usijali muda utaongea.Naenda taratibu Sana.Usitishwe na umri...mtu uliyeandikiwa yupo tu hata ukongweni.😉Na wewe fanya mchakato, usingle m'baya mtu ukizeeka hauna hata wa kupiga nae story muda huo watoto wameondoka nyumbani
Mno😁😁🤣🤣🤣🤣 Ivo yaan👊
Mkuu una akili sanaSingo maza ndio wake bora Sana, ni vile hamjawajulia tu
Watu hawajawajulia tu kuishi nao, but ndio wake bora sanaMkuu una akili sana
Nakuonya dogo 🤣🤣Naenda kuoa single maza wala siwazi mkuu😊
Kwa nini kaka mkubwa😁😁😁Nakuonya dogo 🤣🤣
Mno mkuu😁Watu hawajawajulia tu kuishi nao, but ndio wake bora sana
Achana na single moms mkuu, changamoto zao ni nyingi, labda kama na wewe umeshazalisha wadada wa watu huko🤣Kwa nini kaka mkubwa😁😁😁
Nethina mburi baba mźava , mthungu kaniachia vigari vya wana na funguo za choo😆😆😆Achana na single moms mkuu, changamoto zao ni nyingi, labda kama na wewe umeshazalisha wadada wa watu huko🤣
🤣🤣🤣🤣Nethina mburi baba mźava , mthungu kaniachia vigari vya wana na funguo za choo😆😆😆
Acha ujuaji kijana "why are you want" ni relevant sana tu especially in orally"Why are you want" ✖️✖️✖️
Why do you want ✅️✅️✅️
🤣🤣🤣 Kaza kaza mwamba....maisha ni vile utakavyo kuishi....Ila Kama mngeweza msingekuwa mnaruhusu hao wanawake wasiwe wanawasiliana na maex wao wakisingizia mtoto....Mno😁😁
Tutajie aina za single parentInategemea huyo mwanamke amekuwa single mother kwa njia ipi
au unataka nikutajie kabisa aina za single parents?