Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
Itakua wewe ni single father mwenye uchumi wa kusua suaMimi mama watoto wangu kaolewa,sina hata hamu ya kupasha kiporo,sala yeye hana time na mimi kabisa yaani,hayo ni kukariri tu,mi nimegonga sana wake za watu,na walizama kweli penzini na wala sikuwa wapenzi wao kabla
uno kama loteeee yaani huyu single mama wa kidigoo sii mchezo penzi lake lazima nidateLimekolea naona 🤣🤣 jitihada za single mother kukuweka ndani zimefanikiwa
Safi kabisa enjoy mkuu mpaka pale utakapo anza kuhitaji utulivu wa familia zaidi ya ngono ndio utageuka kua mwandishi mzuri wa nyuzi kuhusiana na Single Mother's hapa JF tena utakua na uzoefu wa kutoshauno kama loteeee yaani huyu single mama wa kidigoo sii mchezo penzi lake lazima nidate
Kudai single mother lazima ampe mzazi mwenzie ni fikra za kijinga,hao ambao hawakuzaa hawawapi wapenzi wao wa zamani!?..kwa hiyo unatakiwa kuchunguza ikiwa mzazi mwenzie single mother ana kipato cha kusuasua au las!?.. single mother wanagongwa na wazazi wenza ni wale tu wenye wazazi wenza wenye vipato imara!?..waliobikiri hao wake zenu hawakumbukwi?Itakua wewe ni single father mwenye uchumi wa kusua sua
Shauri yako 🤣🤣 endelea kusema ni fikra za kijinga mpaka siku uje ushituke utakua umechelewa na utakua unaagwa kabisa na uyo single mother wako kwamba anapeleka mtoto akamsalimie Baba yake kisha mkeo akirudi anaanzia bafuniKudai single mother lazima ampe mzazi mwenzie ni fikra za kijinga,hao ambao hawakuzaa hawawapi wapenzi wao wa zamani!?..kwa hiyo unatakiwa kuchunguza ikiwa mzazi mwenzie single mother ana kipato cha kusuasua au las!?.. single mother wanagongwa na wazazi wenza ni wale tu wenye wazazi wenza wenye vipato imara!?..waliobikiri hao wake zenu hawakumbukwi?
Hakuna guarantee kwenye maisha,maisha hayana formula,Hii misemo huwa ina wacost sana men and women
Shauri yako 🤣🤣 endelea kusema ni fikra za kijinga mpaka siku uje ushituke utakua umechelewa na utakua unaagwa kabisa na uyo single mother wako kwamba anapeleka mtoto akamsalimie Baba yake kisha mkeo akirudi anaanzia bafuni
🤣🤣🤣🤣 Ivo yaan👊Naenda kuoa single maza wala siwazi mkuu😊
Kuna single maza anamtafuta ukiona hivyo!😂 mjanja sana min akee🤣🤣🤣 Jamaa mwongo huyo🙌 yaan haoi Leo Wala kesho.Chezea ndoa wewe...ye haogopi?!😊
🤣🤣🤣😊 Namsikitikia aiseeKuna single maza anamtafuta ukiona hivyo!😂 mjanja sana min akee
Kumbe na wewe hutaki watu waoe single maza?🤣🤣🤣😊 Namsikitikia aisee
Wapo waaminifu Ila ogopa mtu ambaye alishawahi kuwa kataa ndoa.Anaonekana mstaarabu! Ila jf ni mwiko kuaminiana
Dahh! Kataa ndoa imemponza min akee🥹Wapo waaminifu Ila ogopa mtu ambaye alishawahi kuwa kataa ndoa.