Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Kwa hiyo unataka ulaumiwe wewe??
Kama ni mtu amby unajali fairness huwez laumu usahili, awali kulikuw na mazingr makubwa ya rushwa maana wao tu walikuw wanapitish tu majina ya waliopat ajira lkn kuwek usahili means mweny uwezo anapita sasa ww unatakaje
 
Mambo Bado yapo kwenye process muwe na subira.
 
Aiseee, mimi binafsi ni muoga wa usahili, najijua tokea nasoma. Hivyo niliamua kujiajiri mapemaa kabla hizi mbanga za usahili hazijaanza. Ila kweli maisha yanabadirika jmn, siku hizi mambo yako serious kuliko zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…