Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Majobless mnapunguza mawazo kwa kipeana huo utani wenu. Ila mnajaza replies kwenye uzi, jobless wengine wanakuja mbio mbio wanajua update za maana wanakutana na huo utani wenu sio fair you have to stop that
Tunamfunza maana huyo jamaa anazingua kwenye mambo muhimu kama haya ya ajira

NB, nimekuelewa mkuu let's stop
 
Mwenzako kanikimbia 😂 yn mngekuja wawili ndo nngefurah mana akija mmoja angenichosha tuu.
Nlkuwa nshajiandaa kutoa kipigo kikali ila inabidi nirudishe umafia wangu ndani.
 
Ni vile mkuu hapo kasema tu-stop aisee ningekusaka kwa gps
 
Back
Top Bottom