Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Njoo mkuu, uje ukiwa umejipanga nisije kuwafanya mkashindwa kuhudhuria usaili wa ualimu.
Mkuu nna recieved 13 hadi sasa izo za teaching zikinipita nna nyingine kama 5 zinaningoja kwaiyo isikupe shida njoo Tabata tukudunde makuruta wa jeshi la kujenga taifa
 
HII Habari ni uzushi sekrerarieti ya ajira wamekanusha
 
Attachments

  • 1725369023841.jpg
    1725369023841.jpg
    303.1 KB · Views: 4
Wap nimewaona wapuuzi, mm nmesapoti usaili tuu na wala sijamdharau yeyote humu.
Hapana mkuu hasa mimi nawewe tumeanzia mbali toka kwenye uzi wa utumishi yaani nikiuliza tu swali la kufahamu mfumo wa ajira portal unaanza kusema mwalimu hivi mwalimu vile kiufupi unaboa hili jukwaa ni kwa ajili ya kuelimishana na kuhabarishana acha izo jombaa
 
Mkuu nna recieved 13 hadi sasa izo za teaching zikinipita nna nyingine kama 5 zinaningoja kwaiyo isikupe shida njoo Tabata tukudunde makuruta wa jeshi la kujenga taifa
Mm sina nauli, ww unayetaka pigano ndio uje
 
Back
Top Bottom