Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Sijui kwann linapokuja suala la kuajiri waalimu haya mambo hutokea sana, ht kipindi cha tamisemi pia mambo yalikuwa hv hv
Acha masifa dogo
We unawaona walimu mazuzu kila siku unawaponda kwani unafaidika na Nini?
Au hao walimu wewe umewazidi Nini?
Kuwa mstaarabu jamaa uwe na kiasi sio unakejeli ovyo.
Kwani ukielekeza Kwa stara utapungukiwa nini
 
Onyesha mahali nimewaponda waalimu.
 
Usajili nani kaukataa?
Jiangalie jinsi unavoandika uharo humu watu wanakutazama wanaishia kukudharau me nimeamua nikwambie tu
Skia mkuu, utake au usitake, usaili n lazima ufanye.

Mm sihusiki na lolote khs usaili wenu huko utumishi mana mm n jobless na hapa nasubir usaili wa huko utumishi kama nyie waalimu mnavyosubiri usaili wenu.

Kama ww mwalimu au mtu wa afya umeweza kutuboa kote huko mpaka kufika hatua hii ya kuomba ajira, unaogopaje usaili ety kisa zamani mlikuwa mnabebwa tuu.

Ww nifikirie utakavyofikiria ila kaa ukijua n lazima ufanye usaili, kama hutaki bali nyumbani.
 
Usaili nani kaukataa?
Me nachosema acha tabia ya kudharau taaluma za watu
Wewe unaona walimu malofa kwanini uko hapa kujifariji kubeza na kutukana.
Unadharau mishahara
Wote hatuwezi kuwa sawa wewe jikubali na taaluma yako na heshimu za wengine.

Wanaosailiwa na walimu na wewe sio mwalimu unawashwa Nini Sasa
 
Ili usionekane mnafiki, naomba onyesha Comments nilizodharau mishahara yao, nilipotukana na wapi nimewaona waalimu n malofa.
 
IMG_3267.jpeg
 
Back
Top Bottom