Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
nimeona Kuna jamaa kamuomba screen shot hili ajilizishe lakini ajaweka Sasa hapo SI pa kuamini akuna ushaidiC umeona hapo jamaa kasema wngn hawajapangiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeona Kuna jamaa kamuomba screen shot hili ajilizishe lakini ajaweka Sasa hapo SI pa kuamini akuna ushaidiC umeona hapo jamaa kasema wngn hawajapangiwa
Huko Mimi naona akuna umuhimu wowote ule zaidi ni kujipa tumbo joto tu.Profile zinabadilika...
Kuna mtu ilikua inamuandikia mkoa,
Asaivi Imeandika MDAs & LGAs..
Page inashambuliwa sana muda huu watu wamelishana matango poriView attachment 3084486Haya maajabu mengine..
Na yote hayo n matango pori kutoka kwa waalimu 😂Page inashambuliwa sana muda huu watu wamelishana matango pori
Sasa wale walioomba masomo mawili na kupangiwa mikoa miwili tofauti wafanye nn?
Taarifaa mbon haipo at kwenye websites yao ay VIP umeonan hayo mabadilikoInamaana kama kila somo umepangiwa mkoa wake mtu atatakiwa kusafiri kwenda mkoa husika
TGHS C1 huyu atakua Nurse Officer ameingia kaziniDah sasa mbona hawa ndugu zetu wanalalamika hvy utadhani wanalipwa buku mbili, kumbe mambo mazuri hv mpaka nshaanza kupata wivu kwann sikusoma ualimu 😭
Anyway, waalimu wanaokataa usaili em njoeni huku mlambe glucose ya salary slip ili mpate nguvu kdg 😂
Hebu usitusimange jamaniKwahy wale wanaofanya kazi kwenye ofisi za serikali za mitaa wanalipwaje na wapo mazingira yapi na bado wanafanya usaili.
Yn nyie waalimu n kama vile mmejiweka kwenye kundi la walemavu hvy mnataka mchukuliwe ni watu wanyonge sana na msiojiweza, yn miaka yote n nyie tuu kujiweka special sana ili muonekane mnaonewa.
Sio siri, binafsi nimefurahi sana utumishi walichofanya cha kila kada kufanya usaili. Na sio nafurah kisa Mm sio mwalimu wala sio mtu wa afya ila hata kama ningekuwa huko bado nngefurah mana hapakuwa na usawa kwenye kugawa ajira ety kisa kuna waliomaliza miaka ya nyuma.
Utumishi shikilieni hapo hapo, hakuna kada kuajiriwa bila usaili.
Huyu jamaa nitapeli analeta taharuki tu, kama una App ya ajira portal compare nachakwenye web uone.Log in > Nenda my Application > Employer.
Kuna watu washaanza kupangiwa sehemu za interview....
Interview ya kwanza(kuandika) utafanyia ulipoombea...
Interview ya pili(Oral)utafanyia mkoa watakayokupangia wao..
Kama uliomba masomo mawili,
Utashangaa Written ya hesabu na phy utafanyia hapa Dar ulipo,
Oral ya physics utafanyia Kigoma,
Oral ya Hesabu utafanyia Mbeya.
Watu niliokua nawaombea taratibu washaanza kuona mabadiliko,
Ila nahisi zoezi halijaisha.
KWA WALE WOTE WALIOOMBA AJIRA ZA UALIMU KATIKA MFUMO WA AJIRA PORTAL
________________________________
KUNA MABADILIKO MUHIMU YAMEFANYIKA
1. Wengi wamebadilishiwa mikoa ya kufanyiwa usaili na ndo mikoa itakayotumika kuwaajili.
2. Kama hujabadilishiwa mkoa na Bado panasoma MDAs & LGAs maana yake ni kwamba wewe hujapangiwa mkoa WA kwenda kufanya usajili, hivyo utaomba Ajira upya pindi zitakapotoka.
Ili kuona mabadiliko hayo , Fanya mambo/hatua zifuatazo
1. Ingia Ajira portal akaunt Yako ()Recruitment Portal
portal.ajira.go.tz
2. Ingiza Email/username na Password Yako. Kisha bofya Login .
3. Kisha bofya sehemu ya My Application na utaona mwenendo WA maombi Yako ya Ajira
4. Angalia sehemu ya Job Title kipengere Cha Employer utaikuta kimefanyiwa mabadiliko na kuandikwa jina la mkoa ulilopangiwa kufanya interview , kama hakuna jina la mkoa ulilopangiwa inamaana kwamba Bado hujapangiwa sehemu pa kufanyia interview na huwenda hujakidhi vigezo ,hivyo utarazimika kufanya maombi mengine pindi Ajira zitakapotoka.
NB : Endelea kutembelea Akaunti Yako kila mara Ili kuona madailiko zaidi na siku na tarehe na kituonutakachopangiwa kwenda kufanyia interview
_______________________
Kila la kheli katika maombi Yako,
_______________________
Log in > Nenda my Application > Employer.

Hiyo ya BwaMdogoKwani Kaka bado Tu hujapata check number?
🤣🤣🤣🤣Walimu mimi natoa tu update mbona mnataka mninyongee...
Niliwaambia Status zimebadilika zinaandika mikoa, Mkaingia mkaona..
Nika wa update tena kua status zinabadilika kurudi kwenye MDAs & LGAs , mkaangalia ni kweli.
Sasa mimi nimedanganya nini?
Sichoki kutoa update...
Kinachofanyika sasa, wamefunga page yao kupitia Google ili kufanya review ya mchakato hasa katika upande wa mikoa,
Soon baada ya kumaliza watawafungulia....
Ukijua maana ya profile name yangu, hutauliza najuaje.
Hahaaa Watu wanapanic, Sasa hapo nini umedanganya...?🤣🤣🤣🤣Walimu mimi natoa tu update mbona mnataka mninyongee...
Niliwaambia Status zimebadilika zinaandika mikoa, Mkaingia mkaona..
Nika wa update tena kua status zinabadilika kurudi kwenye MDAs & LGAs , mkaangalia ni kweli.
Sasa mimi nimedanganya nini?
Sichoki kutoa update...
Kinachofanyika sasa, wamefunga page yao kupitia Google ili kufanya review ya mchakato hasa katika upande wa mikoa,
Soon baada ya kumaliza watawafungulia....
Ukijua maana ya profile name yangu, hutauliza najuaje.
Humu sema tuu hatuonani, mtu anatamani akupige chepe, as if wewe ndio umemuweka kitaa,
Subiri uone nitakavyoandamwa na hii comment 🤣🤣🤣.