Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Hahaaa Watu wanapanic, Sasa hapo nini umedanganya...?
Hao waache, ndio maana siwa quote nisiwapandishe hasira zaidi

We mtu kakaa kitaa kuanzia 2016,
History na Kiswahili visha vapour kichwani,
Ghafla unamuambia interview, hajakaa sawa yupo ujiji kigoma, anatakiwa aende mtwara kwenye history, akitoka mtwara aende mbeya kwenye kiswahili, unadhani atakua sawa?
Halafu nije mimi niwaambie wamefuta tena,
Mtu huyo sio wa kumsogelea karibu..

Hapo alipo anaweza gombana hata na sufuria na vifaranga.
 
Taarifaa mbon haipo at kwenye websites yao ay VIP umeonan hayo mabadiliko
mabadiliko yaliyopo kwenye account yako ni kwa Employer badala ya utumishi unaajiliwa na mkoa ulikoomba, lakini kingine nilichokibaini kuna mdogo wangu nilimuombea kiswahili-Tanga, kiingereza-Tanga, lakini saizi kwenye account yake inaonyesha Kiswahili-Kagera, Kiingereza Tanga, ni hayo tu
 
Hao waache, ndio maana siwa quote nisiwapandishe hasira zaidi

We mtu kakaa kitaa kuanzia 2016,
History na Kiswahili visha vapour kichwani,
Ghafla unamuambia interview, hajakaa sawa yupo ujiji kigoma, anatakiwa aende mtwara kwenye history, akitoka mtwara aende mbeya kwenye kiswahili, unadhani atakua sawa?
Halafu nije mimi niwaambie wamefuta tena,
Mtu huyo sio wa kumsogelea karibu..

Hapo alipo anaweza gombana hata na sufuria na vifaranga.
Hawa watu ni wa kukaa nao makini sana, wanaweza ht kujiua.
 
Kuna hiii
Screenshot_20240902_102104_Instagram Lite.jpg
Screenshot_20240902_102849_Chrome.jpg
 
Hao waache, ndio maana siwa quote nisiwapandishe hasira zaidi

We mtu kakaa kitaa kuanzia 2016,
History na Kiswahili visha vapour kichwani,
Ghafla unamuambia interview, hajakaa sawa yupo ujiji kigoma, anatakiwa aende mtwara kwenye history, akitoka mtwara aende mbeya kwenye kiswahili, unadhani atakua sawa?
Halafu nije mimi niwaambie wamefuta tena,
Mtu huyo sio wa kumsogelea karibu..

Hapo alipo anaweza gombana hata na sufuria na vifaranga.
Mkuu nilichokuelewa huenda wameona mapungufu mtu kupangiwa mikoa miwili tofauti kwa ajili ya usaili. Hii kweli ni changamoto hasa kweli cost. Nahisi wamechukua maoni ya watu ili wa fix hili ila tangazo lako la mwanzo lina make sense
 
Ok kwa mimi point zangu ni kuwa;

Mazingira ya kufanyia kazi ni duni kulingana na kada nyingine

Mshahara duni na mazingira duni ya kazi ya ualimu sio sawa kumtia mtu gharama za kwenda kurudi mikoani na wilayani kutafuta mshahara wa 400k

Ukiangalia ufaulu wa miaka hii ni wazi kuwa wanafunzi wanafaulu kupita matarajio na ndio maana wasio na ajira mtaani ni wengi sana hii ina maana walioajiriwa bila interview hawana mapungufu yoyote ambayo yangefanya kuwe na ulazima wa usaili ili kuchuja ubora

Kama ni kutafuta usawa au kuwapambanisha eti kwakuwa wanaohitaji ni wengi bado usawa huo hautakuwepo utake usitake rushwa lazima itatembea

Kigezo cha kupima competency ya mwalimu kwa mtihani wa kuchagua ni uwongo bora hata interview ya kufundisha sio multiple choice

Kuhusu izo kada nyingine wapigwe tu interview kwanza wanafanya kazi mijini na mtonyo wa kutosha lakini pia sio zote kwahiyo hata hizo ambazo mishahara na mazingira ni duni zenyewe kufanya interview za multiple choice ni kupotea rasilimali tu

Nyingine watajazia wengine
Kama wata watatumia usaili ili kuajiri Itakuwa vzr itaondoa kubebana
 
Kwenye maelezo yangu hapo nimeliongelea hilo

Kwa maono yangu kubebana kupo palepale ngoja tusubiri shuhuda naona kuna wa galanos kaanza kuleta hints kidogo wapo wengi tu watafunguka
 
Log in > Nenda my Application > Employer.
Kuna watu washaanza kupangiwa sehemu za interview....

Interview ya kwanza(kuandika) utafanyia ulipoombea...

Interview ya pili(Oral)utafanyia mkoa watakayokupangia wao..

Kama uliomba masomo mawili,
Utashangaa Written ya hesabu na phy utafanyia hapa Dar ulipo,
Oral ya physics utafanyia Kigoma,
Oral ya Hesabu utafanyia Mbeya.

Watu niliokua nawaombea taratibu washaanza kuona mabadiliko,
Ila nahisi zoezi halijaisha.

KWA WALE WOTE WALIOOMBA AJIRA ZA UALIMU KATIKA MFUMO WA AJIRA PORTAL
________________________________

KUNA MABADILIKO MUHIMU YAMEFANYIKA
1. Wengi wamebadilishiwa mikoa ya kufanyiwa usaili na ndo mikoa itakayotumika kuwaajili.
2. Kama hujabadilishiwa mkoa na Bado panasoma MDAs & LGAs maana yake ni kwamba wewe hujapangiwa mkoa WA kwenda kufanya usajili, hivyo utaomba Ajira upya pindi zitakapotoka.
Ili kuona mabadiliko hayo , Fanya mambo/hatua zifuatazo
1. Ingia Ajira portal akaunt Yako ( )
2. Ingiza Email/username na Password Yako. Kisha bofya Login .
3. Kisha bofya sehemu ya My Application na utaona mwenendo WA maombi Yako ya Ajira
4. Angalia sehemu ya Job Title kipengere Cha Employer utaikuta kimefanyiwa mabadiliko na kuandikwa jina la mkoa ulilopangiwa kufanya interview , kama hakuna jina la mkoa ulilopangiwa inamaana kwamba Bado hujapangiwa sehemu pa kufanyia interview na huwenda hujakidhi vigezo ,hivyo utarazimika kufanya maombi mengine pindi Ajira zitakapotoka.
NB : Endelea kutembelea Akaunti Yako kila mara Ili kuona madailiko zaidi na siku na tarehe na kituonutakachopangiwa kwenda kufanyia interview
_______________________
Kila la kheli katika maombi Yako,
_______________________
Aisee wakuuu hiz heka heka zote afu unakosa nafasi
 
Hivi kwanini mnaamini walimu ni watoto wa masikini?

Sometimes ualimu ni njia ya kuingia kwenye system ili kufikia ndoto fulani za mtu alizojiwekea acheni kukariri
Ni sawa lakini sio rahisi kwa idadi hiyo!
 
Aisee wakuuu hiz heka heka zote afu unakosa nafasi
Yn hy ishu unafanya ukiwa ndani kitandani tena ht ukiwa unasinzia afu unasema hekaheka?
Mbona ukiwa Instagram, Facebook, JF, Tiktok n.k husemi hekaheka?
 
Mkuu heka heka yake ipo kwenye kusafiri na madude yote
 
Log in > Nenda my Application > Employer.
Kuna watu washaanza kupangiwa sehemu za interview....

Interview ya kwanza(kuandika) utafanyia ulipoombea...

Interview ya pili(Oral)utafanyia mkoa watakayokupangia wao..

Kama uliomba masomo mawili,
Utashangaa Written ya hesabu na phy utafanyia hapa Dar ulipo,
Oral ya physics utafanyia Kigoma,
Oral ya Hesabu utafanyia Mbeya.

Watu niliokua nawaombea taratibu washaanza kuona mabadiliko,
Ila nahisi zoezi halijaisha.

KWA WALE WOTE WALIOOMBA AJIRA ZA UALIMU KATIKA MFUMO WA AJIRA PORTAL
________________________________

KUNA MABADILIKO MUHIMU YAMEFANYIKA
1. Wengi wamebadilishiwa mikoa ya kufanyiwa usaili na ndo mikoa itakayotumika kuwaajili.
2. Kama hujabadilishiwa mkoa na Bado panasoma MDAs & LGAs maana yake ni kwamba wewe hujapangiwa mkoa WA kwenda kufanya usajili, hivyo utaomba Ajira upya pindi zitakapotoka.
Ili kuona mabadiliko hayo , Fanya mambo/hatua zifuatazo
1. Ingia Ajira portal akaunt Yako ( )
2. Ingiza Email/username na Password Yako. Kisha bofya Login .
3. Kisha bofya sehemu ya My Application na utaona mwenendo WA maombi Yako ya Ajira
4. Angalia sehemu ya Job Title kipengere Cha Employer utaikuta kimefanyiwa mabadiliko na kuandikwa jina la mkoa ulilopangiwa kufanya interview , kama hakuna jina la mkoa ulilopangiwa inamaana kwamba Bado hujapangiwa sehemu pa kufanyia interview na huwenda hujakidhi vigezo ,hivyo utarazimika kufanya maombi mengine pindi Ajira zitakapotoka.
NB : Endelea kutembelea Akaunti Yako kila mara Ili kuona madailiko zaidi na siku na tarehe na kituonutakachopangiwa kwenda kufanyia interview
_______________________
Kila la kheli katika maombi Yako,
_______________________
Huu uzi umekanushwa
Screenshot_20240903-145546.jpg
 
Back
Top Bottom