Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Ni wapi nimesema kwamba walimu wasipewe usaili?Jambo ni moja tuu, kama hutaki usaili bc acha, kaa nyumbani utaajiriwa bila usaili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapi nimesema kwamba walimu wasipewe usaili?Jambo ni moja tuu, kama hutaki usaili bc acha, kaa nyumbani utaajiriwa bila usaili.
Ok kwa mimi point zangu ni kuwa;Point yangu n kwann nyie waalimu hamtaki kufanya usaili.?
Em nijibu hili kwanza.
Sasa unalalamikia kitu gani?Ni wapi nimesema kwamba walimu wasipewe usaili?
😂Kwa sababu ni walimu
Kwahy wale wanaofanya kazi kwenye ofisi za serikali za mitaa wanalipwaje na wapo mazingira yapi na bado wanafanya usaili.Ok kwa mimi point zangu ni kuwa;
Mazingira ya kufanyia kazi ni duni kulingana na kada nyingine
Mshahara duni na mazingira duni ya kazi ya ualimu sio sawa kumtia mtu gharama za kwenda kurudi mikoani na wilayani kutafuta mshahara wa 400k
Ukiangalia ufaulu wa miaka hii ni wazi kuwa wanafunzi wanafaulu kupita matarajio na ndio maana wasio na ajira mtaani ni wengi sana hii ina maana walioajiriwa bila interview hawana mapungufu yoyote ambayo yangefanya kuwe na ulazima wa usaili ili kuchuja ubora
Kama ni kutafuta usawa au kuwapambanisha eti kwakuwa wanaohitaji ni wengi bado usawa huo hautakuwepo utake usitake rushwa lazima itatembea
Kigezo cha kupima competency ya mwalimu kwa mtihani wa kuchagua ni uwongo bora hata interview ya kufundisha sio multiple choice
Kuhusu izo kada nyingine wapigwe tu interview kwanza wanafanya kazi mijini na mtonyo wa kutosha lakini pia sio zote kwahiyo hata hizo ambazo mishahara na mazingira ni duni zenyewe kufanya interview za multiple choice ni kupotea rasilimali tu
Nyingine watajazia wengine
portal.ajira.go.tz
Nkwambie tuu, mpaka sasa nmekandwa mara mbili tuu na hapa nasubiri zingine mbili. Sasa hy mikando miwili siwezi kuzisemea ety utumishi nna hasira nao 😂Mkuu utumishi wamekukanda hadi una hasira na kila mtu ungekuwepo utumishi mwaka huu walimu wangekiona cha moto
Kwahy kama imebaki MDA'S na LGA'S ujue umechinjwa 😂KWA WALE WOTE WALIOOMBA AJIRA ZA UALIMU KATIKA MFUMO WA AJIRA PORTAL
________________________________
KUNA MABADILIKO MUHIMU YAMEFANYIKA
1. Wengi wamebadilishiwa mikoa ya kufanyiwa usaili na ndo mikoa itakayotumika kuwaajili.
2. Kama hujabadilishiwa mkoa na Bado panasoma MDAs & LGAs maana yake ni kwamba wewe hujapangiwa mkoa WA kwenda kufanya usajili, hivyo utaomba Ajira upya pindi zitakapotoka.
Ili kuona mabadiliko hayo , Fanya mambo/hatua zifuatazo
1. Ingia Ajira portal akaunt Yako ()Recruitment Portal
portal.ajira.go.tz
2. Ingiza Email/username na Password Yako. Kisha bofya Login .
3. Kisha bofya sehemu ya My Application na utaona mwenendo WA maombi Yako ya Ajira
4. Angalia sehemu ya Job Title kipengere Cha Employer utaikuta kimefanyiwa mabadiliko na kuandikwa jina la mkoa ulilopangiwa kufanya interview , kama hakuna jina la mkoa ulilopangiwa inamaana kwamba Bado hujapangiwa sehemu pa kufanyia interview na huwenda hujakidhi vigezo ,hivyo utarazimika kufanya maombi mengine pindi Ajira zitakapotoka.
NB : Endelea kutembelea Akaunti Yako kila mara Ili kuona madailiko zaidi na siku na tarehe na kituonutakachopangiwa kwenda kufanyia interview
_______________________
Kila la kheli katika maombi Yako,
_______________________
Ni bora ungejibu kwa hoja kuliko kuleta ushabiki lete hoja kwanini unaafiki interview kwa walimu orodhesha sababu zako bila kulinganisha na kada yakoKwahy wale wanaofanya kazi kwenye ofisi za serikali za mitaa wanalipwaje na wapo mazingira yapi na bado wanafanya usaili.
Yn nyie waalimu n kama vile mmejiweka kwenye kundi la walemavu hvy mnataka mchukuliwe ni watu wanyonge sana na msiojiweza, yn miaka yote n nyie tuu kujiweka special sana ili muonekane mnaonewa.
Sio siri, binafsi nimefurahi sana utumishi walichofanya cha kila kada kufanya usaili. Na sio nafurah kisa Mm sio mwalimu wala sio mtu wa afya ila hata kama ningekuwa huko bado nngefurah mana hapakuwa na usawa kwenye kugawa ajira ety kisa kuna waliomaliza miaka ya nyuma.
Utumishi shikilieni hapo hapo, hakuna kada kuajiriwa bila usaili.
Nyie waalimu ndio mseme sababu za kwann msifanye usaili yn toeni sababu za msingi na za kueleweka bila kujilinganisha na walemavu wasiojiweza, na sio mm ndio ntoe sababu mana mm sio mwalimu.Ni bora ungejibu kwa hoja kuliko kuleta ushabiki lete hoja kwanini unaafiki interview kwa walimu orodhesha sababu zako bila kulinganisha na kada yako
Ongea kwa ujumla na sababu zilizoshiba kwanini unaafiki walimu wapitie interview kuajiriwa?
Sasa wale walioomba masomo mawili na kupangiwa mikoa miwili tofauti wafanye nn?KWA WALE WOTE WALIOOMBA AJIRA ZA UALIMU KATIKA MFUMO WA AJIRA PORTAL
________________________________
KUNA MABADILIKO MUHIMU YAMEFANYIKA
1. Wengi wamebadilishiwa mikoa ya kufanyiwa usaili na ndo mikoa itakayotumika kuwaajili.
2. Kama hujabadilishiwa mkoa na Bado panasoma MDAs & LGAs maana yake ni kwamba wewe hujapangiwa mkoa WA kwenda kufanya usajili, hivyo utaomba Ajira upya pindi zitakapotoka.
Ili kuona mabadiliko hayo , Fanya mambo/hatua zifuatazo
1. Ingia Ajira portal akaunt Yako ()Recruitment Portal
portal.ajira.go.tz
2. Ingiza Email/username na Password Yako. Kisha bofya Login .
3. Kisha bofya sehemu ya My Application na utaona mwenendo WA maombi Yako ya Ajira
4. Angalia sehemu ya Job Title kipengere Cha Employer utaikuta kimefanyiwa mabadiliko na kuandikwa jina la mkoa ulilopangiwa kufanya interview , kama hakuna jina la mkoa ulilopangiwa inamaana kwamba Bado hujapangiwa sehemu pa kufanyia interview na huwenda hujakidhi vigezo ,hivyo utarazimika kufanya maombi mengine pindi Ajira zitakapotoka.
NB : Endelea kutembelea Akaunti Yako kila mara Ili kuona madailiko zaidi na siku na tarehe na kituonutakachopangiwa kwenda kufanyia interview
_______________________
Kila la kheli katika maombi Yako,
_______________________
Nimekupa sababu hapo juu naona unauliza nyingine kabla hata hujazijibu hoja zangu nilichogundua wewe una chuki na kada za ualimu na afya kwakuwa walikuwa wanapangiwa tu bila gharama yoyote huku wewe ukiendelea kugharamika kwa mikandoNyie waalimu ndio mseme sababu za kwann msifanye usaili yn toeni sababu za msingi na za kueleweka bila kujilinganisha na walemavu wasiojiweza, na sio mm ndio ntoe sababu mana mm sio mwalimu.
noma sana haahhaKwahy kama imebaki MDA'S na LGA'S ujue umechinjwa 😂
Sababu ulizotoa hazina kichwa wala miguu.Nimekupa sababu hapo juu naona unauliza nyingine kabla hata hujazijibu hoja zangu nilichogundua wewe una chuki na kada za ualimu na afya kwakuwa walikuwa wanapangiwa tu bila gharama yoyote huku wewe ukiendelea kugharamika kwa mikando
NB nakuombea nawewe ulambe asali mkuu ufaidi mema ya nchi hii na ikiwezekana hata kada yako waondoe mikando tu kwani competency ya mtu haipimwi kwa multiple choice ya kubashiri
Inamaana kama kila somo umepangiwa mkoa wake mtu atatakiwa kusafiri kwenda mkoa husikaKWA WALE WOTE WALIOOMBA AJIRA ZA UALIMU KATIKA MFUMO WA AJIRA PORTAL
________________________________
KUNA MABADILIKO MUHIMU YAMEFANYIKA
1. Wengi wamebadilishiwa mikoa ya kufanyiwa usaili na ndo mikoa itakayotumika kuwaajili.
2. Kama hujabadilishiwa mkoa na Bado panasoma MDAs & LGAs maana yake ni kwamba wewe hujapangiwa mkoa WA kwenda kufanya usajili, hivyo utaomba Ajira upya pindi zitakapotoka.
Ili kuona mabadiliko hayo , Fanya mambo/hatua zifuatazo
1. Ingia Ajira portal akaunt Yako ()Recruitment Portal
portal.ajira.go.tz
2. Ingiza Email/username na Password Yako. Kisha bofya Login .
3. Kisha bofya sehemu ya My Application na utaona mwenendo WA maombi Yako ya Ajira
4. Angalia sehemu ya Job Title kipengere Cha Employer utaikuta kimefanyiwa mabadiliko na kuandikwa jina la mkoa ulilopangiwa kufanya interview , kama hakuna jina la mkoa ulilopangiwa inamaana kwamba Bado hujapangiwa sehemu pa kufanyia interview na huwenda hujakidhi vigezo ,hivyo utarazimika kufanya maombi mengine pindi Ajira zitakapotoka.
NB : Endelea kutembelea Akaunti Yako kila mara Ili kuona madailiko zaidi na siku na tarehe na kituonutakachopangiwa kwenda kufanyia interview
_______________________
Kila la kheli katika maombi Yako,
_______________________
Utumishi hawajatoa utaratibu wa usaili kwa kada ya ualimu. Huo unaozungumzia ni wa kada ya afya.Log in > Nenda my Application > Employer.
Kuna watu washaanza kupangiwa sehemu za interview....
Interview ya kwanza(kuandika) utafanyia ulipoombea...
Interview ya pili(Oral)utafanyia mkoa watakayokupangia wao..
Kama uliomba masomo mawili,
Utashangaa Written ya hesabu na phy utafanyia hapa Dar ulipo,
Oral ya physics utafanyia Kigoma,
Oral ya Hesabu utafanyia Mbeya.
Watu niliokua nawaombea taratibu washaanza kuona mabadiliko,
Ila nahisi zoezi halijaisha.
KWA WALE WOTE WALIOOMBA AJIRA ZA UALIMU KATIKA MFUMO WA AJIRA PORTAL
________________________________
KUNA MABADILIKO MUHIMU YAMEFANYIKA
1. Wengi wamebadilishiwa mikoa ya kufanyiwa usaili na ndo mikoa itakayotumika kuwaajili.
2. Kama hujabadilishiwa mkoa na Bado panasoma MDAs & LGAs maana yake ni kwamba wewe hujapangiwa mkoa WA kwenda kufanya usajili, hivyo utaomba Ajira upya pindi zitakapotoka.
Ili kuona mabadiliko hayo , Fanya mambo/hatua zifuatazo
1. Ingia Ajira portal akaunt Yako ()Recruitment Portal
portal.ajira.go.tz
2. Ingiza Email/username na Password Yako. Kisha bofya Login .
3. Kisha bofya sehemu ya My Application na utaona mwenendo WA maombi Yako ya Ajira
4. Angalia sehemu ya Job Title kipengere Cha Employer utaikuta kimefanyiwa mabadiliko na kuandikwa jina la mkoa ulilopangiwa kufanya interview , kama hakuna jina la mkoa ulilopangiwa inamaana kwamba Bado hujapangiwa sehemu pa kufanyia interview na huwenda hujakidhi vigezo ,hivyo utarazimika kufanya maombi mengine pindi Ajira zitakapotoka.
NB : Endelea kutembelea Akaunti Yako kila mara Ili kuona madailiko zaidi na siku na tarehe na kituonutakachopangiwa kwenda kufanyia interview
_______________________
Kila la kheli katika maombi Yako,
______________________
Mkuu umejuaje yupo kwa shemeji?Kama hutaki acha..usiipangie serikali cha kufanya. Sawa? Wanao hitaji kazi watafanya interview.wewe baki hapo kwa shemeji yako
Serikali ya CCM imejaa wahuni wahuni tu wanafanyaga mambo kama wamekatwa vichwaHivi ualimu kazi ya mshahara mdogo kama tone la maji yaanini kuwatesa vijana wa kimaskini kiasi hicho kwa kisingizio cha interview. Viongozi wa CCM mliopo wizarani acheni hiyo ego ya kujiona mmeyapatia maisha kiasi hicho cha kutesa walimu hawa maskini. Kumbuka kama familia ina kipato cha kutosha, mtoto hawezi kusomea ualimu hivyo narudia acheni kuwatesa hao walimu kiasi hicho bora interview zote kama mnataka kuwapa zifanyikie wilaya moja aliyoombea nafasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hutaki acha..usiipangie serikali cha kufanya. Sawa? Wanao hitaji kazi watafanya interview.wewe baki hapo kwa shemeji yako