Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

PSRS kuleni chuma hicho
psrs instagram.jpg
 
Log in > Nenda my Application > Employer.
Kuna watu washaanza kupangiwa sehemu za interview....

Interview ya kwanza(kuandika) utafanyia ulipoombea...

Interview ya pili(Oral)utafanyia mkoa watakayokupangia wao..

Kama uliomba masomo mawili,
Utashangaa Written ya hesabu na phy utafanyia hapa Dar ulipo,
Oral ya physics utafanyia Kigoma,
Oral ya Hesabu utafanyia Mbeya.

Watu niliokua nawaombea taratibu washaanza kuona mabadiliko,
Ila nahisi zoezi halijaisha.

KWA WALE WOTE WALIOOMBA AJIRA ZA UALIMU KATIKA MFUMO WA AJIRA PORTAL
________________________________

KUNA MABADILIKO MUHIMU YAMEFANYIKA
1. Wengi wamebadilishiwa mikoa ya kufanyiwa usaili na ndo mikoa itakayotumika kuwaajili.
2. Kama hujabadilishiwa mkoa na Bado panasoma MDAs & LGAs maana yake ni kwamba wewe hujapangiwa mkoa WA kwenda kufanya usajili, hivyo utaomba Ajira upya pindi zitakapotoka.
Ili kuona mabadiliko hayo , Fanya mambo/hatua zifuatazo
1. Ingia Ajira portal akaunt Yako ( )
2. Ingiza Email/username na Password Yako. Kisha bofya Login .
3. Kisha bofya sehemu ya My Application na utaona mwenendo WA maombi Yako ya Ajira
4. Angalia sehemu ya Job Title kipengere Cha Employer utaikuta kimefanyiwa mabadiliko na kuandikwa jina la mkoa ulilopangiwa kufanya interview , kama hakuna jina la mkoa ulilopangiwa inamaana kwamba Bado hujapangiwa sehemu pa kufanyia interview na huwenda hujakidhi vigezo ,hivyo utarazimika kufanya maombi mengine pindi Ajira zitakapotoka.
NB : Endelea kutembelea Akaunti Yako kila mara Ili kuona madailiko zaidi na siku na tarehe na kituonutakachopangiwa kwenda kufanyia interview
_______________________
Kila la kheli katika maombi Yako,
_______________________
Kumekucha tena!
Hivi hawa walioajiriwa Miaka 5 nyuma ambao hawakufanya hizi interview inakuwaje?
Au Malengo ya Interview ni nini?
Je, wanataka Ualimu nao uwe professional?
 
Hivi ualimu kazi ya mshahara mdogo kama tone la maji yaanini kuwatesa vijana wa kimaskini kiasi hicho kwa kisingizio cha interview. Viongozi wa CCM mliopo wizarani acheni hiyo ego ya kujiona mmeyapatia maisha kiasi hicho cha kutesa walimu hawa maskini. Kumbuka kama familia ina kipato cha kutosha, mtoto hawezi kusomea ualimu hivyo narudia acheni kuwatesa hao walimu kiasi hicho bora interview zote kama mnataka kuwapa zifanyikie wilaya moja aliyoombea nafasi.
Mshahara mkubwa kwako ni upi? Unajua kuwa Kwa government sekta ya ualimu inaweza kuwa ya tatu au nne Kwa watu wake kulipwa mshahara mkubwa!?

Acha kuishi Kwa kukalili,hebu weka salary slip Yako tulinganishe wewe uliyekwenye idara ya mshahara mkubwa na Mimi mwalimu ambaye ninalipwa mshahara kidogo kulingana na mtazamo wako!!

By the way hatuwezi wote Kuwa wakurungezi au mameja,hata mbinguni Kuna matabaka,Kuna malaika,yesu ,Mungu ,ije kuwa dumiani!?

Ukiweka salary slip Yako ikaonesha unanizidi naacha kazi ya ualimu,yangu hii hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20240901-122242.png
    Screenshot_20240901-122242.png
    223.4 KB · Views: 13
Hivi ualimu kazi ya mshahara mdogo kama tone la maji yaanini kuwatesa vijana wa kimaskini kiasi hicho kwa kisingizio cha interview. Viongozi wa CCM mliopo wizarani acheni hiyo ego ya kujiona mmeyapatia maisha kiasi hicho cha kutesa walimu hawa maskini. Kumbuka kama familia ina kipato cha kutosha, mtoto hawezi kusomea ualimu hivyo narudia acheni kuwatesa hao walimu kiasi hicho bora interview zote kama mnataka kuwapa zifanyikie wilaya moja aliyoombea nafasi.
ccm kazi kwelwel huko nchimbi kakimbia mdahalo kaogopa akina mnyika watamdhalilisha
 
Mshahara mkubwa kwako ni upi? Unajua kuwa Kwa government sekta ya ualimu inaweza kuwa ya tatu au nne Kwa watu wake kulipwa mshahara mkubwa!?

Acha kuishi Kwa kukalili,hebu weka salary slip Yako tulinganishe wewe uliyekwenye idara ya mshahara mkubwa na Mimi mwalimu ambaye ninalipwa mshahara kidogo kulingana na mtazamo wako!!

By the way hatuwezi wote Kuwa wakurungezi au mameja,hata mbinguni Kuna matabaka,Kuna malaika,yesu ,Mungu ,ije kuwa dumiani!?

Ukiweka salary slip Yako ikaonesha unanizidi naacha kazi ya ualimu,yangu hii hapa
Umeua mkuu, hawezi kurudi huyu mlemavu
 
Mkuu hy 2038 n nn?
 
Akikujibu nitag
 
Back
Top Bottom