Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Oh bc safi, bc screenshot nyingi ambazo naziona humu hawajawahi kuonyesha hy ndo mana nimeshangaa
Hyo ya kwangu..
Screenshot_20240901_125501_Drive.jpg
 
Hapo c bado miaka kama 30 tuu, kwahy n michache.
Mingi sana hiyo mkuu assume nimebakiza miaka 14 TU ya kusaka keki ya taifa kinyume na hapo nakuwa na 46+ ntakuwa nje ya mfumo yaani Mzee sitokuwa na sifa ya hata kusogelea tangazo la ajira.
Wakati nafasi ninayoitegemea aliyekwepo anatundika daruga 2052 so balaa hili
 
😂 Mm nmebakisha miaka 16 ili serikali inipe mkono wa kwaheri 😭
Ila hawa ndugu zetu walioajiriwa serikalini kuna baadhi wanalalamika ila aisee mm nawaonea wivu mno.
 
Dah sasa mbona hawa ndugu zetu wanalalamika hvy utadhani wanalipwa buku mbili, kumbe mambo mazuri hv mpaka nshaanza kupata wivu kwann sikusoma ualimu 😭

Anyway, waalimu wanaokataa usaili em njoeni huku mlambe glucose ya salary slip ili mpate nguvu kdg 😂
Mimi niko kada ya Afya mkuu. Mi siyo mwalimu
 
😂 Mm nmebakisha miaka 16 ili serikali inipe mkono wa kwaheri 😭
Ila hawa ndugu zetu walioajiriwa serikalini kuna baadhi wanalalamika ila aisee mm nawaonea wivu mno.
Tuanzishe kampeni ya kuwasapuza wastaff kAzi mkuu
tukizubaaa aki ya nani keki ya taifa atutolamba.
Kwa tumiaka tulichobakiza na aina ya mikando ya utumishi bila kutuonea huruma atutoboi
 
Mbona wale waalimu wasiotaka usaili hawaonekani tena 😂
 
Tuanzishe kampeni ya kuwasapuza wastaff kAzi mkuu
tukizubaaa aki ya nani keki ya taifa atutolamba.
Kwa tumiaka tulichobakiza na aina ya mikando ya utumishi bila kutuonea huruma atutoboi
Ila inategemea na umesoma nn, kuna kada zingine utasugua benchi sana.
Sasa Mm nlichosomea ntaajiriwa TBC tuu 😭 na hawataki kustaafu wakat naona kuna wazee kibao wanafanya kazi yangu 😭
 
Vijana fanyeni tu utaratibu mjiajiri. Huku mtaani ukiamua kupambana kwenye biashara ya uchuuzi, maisha siyo magumu kivile. Kazi yenu kubwa hapo ni kutafuta tu mtaji wa kuanzia. Achaneni na haya mauzauza ya serikali ya CCM.

Unahangaishwa kufanyiwa usahili, huku hao wahusika wenyewe wa usaili tayari wakiwa wana majina ya ndugu zao wa kuwaajiri. Yaani ni wachache pekee kati yenu ndiyo mtapata hizo ajira kwa haki.
 
Back
Top Bottom