Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Unapata faida gani kwa kudanganya mkuu??

Matangazo yote ya kazi, interview na placement yanatolewa waziwazi kupitia tovuti ya utumishi ambapo pia muhusika atapata taarifa pia kupitia profile yake

Hakuna taarifa ya kazi, interview wala kupangiwa kazi anataarifiwa mtu bila ya taarifa kuwa published kwenye tovuti

Tangazo la interview lililotoka ni la Kada ya afya na si la ualimu
apana jamaa ni kama yuko sahihi. mini niliomba mkoa wa kilimanjaro na arusha na kwenye account yangu nimekuta nimewekewa mtwara na mara
 
Unapata faida gani kwa kudanganya mkuu??

Matangazo yote ya kazi, interview na placement yanatolewa waziwazi kupitia tovuti ya utumishi ambapo pia muhusika atapata taarifa pia kupitia profile yake

Hakuna taarifa ya kazi, interview wala kupangiwa kazi anataarifiwa mtu bila ya taarifa kuwa published kwenye tovuti

Tangazo la interview lililotoka ni la Kada ya afya na si la ualimu
Jamaa hajakosea alichoeleza kwenye uzi, kilichobaki tu ni tangazo la public kama ilivyo kwa kada za Afya
 
Mshahara mkubwa kwako ni upi? Unajua kuwa Kwa government sekta ya ualimu inaweza kuwa ya tatu au nne Kwa watu wake kulipwa mshahara mkubwa!?

Acha kuishi Kwa kukalili,hebu weka salary slip Yako tulinganishe wewe uliyekwenye idara ya mshahara mkubwa na Mimi mwalimu ambaye ninalipwa mshahara kidogo kulingana na mtazamo wako!!

By the way hatuwezi wote Kuwa wakurungezi au mameja,hata mbinguni Kuna matabaka,Kuna malaika,yesu ,Mungu ,ije kuwa dumiani!?

Ukiweka salary slip Yako ikaonesha unanizidi naacha kazi ya ualimu,yangu hii hapa
Si haba, njia ya msalani haiwezi kuota nyasi.

Lakini kuifikia scale category F umepambana sana
 
Back
Top Bottom