Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Mnaojiandaa na usaili wa utumishi nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii, tupeane mbinu za kutoboa usaili.

Una uzoefu wa hizi saili share tujue zinakuweje, eneo gani la kusoma sana wakati wa kujiandaa.
 
Back
Top Bottom