emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,001
- 1,430
- Thread starter
- #21
mnaotafuta internship. Pambana upate kwenye NGOs utaifurahia career yako. Ukikuta kuna project inaendelea ndo utafurahi sana, utajifunza kwa vitendo kila kitu ulichokuwa unafundishwa. Kuandika reports, M&E, Project budget, Proposal zinavyoandikwa, Field kukutana na beneficiaries.Mm.mwneyew community economic development hapa degree nipo kitaa natafuta field
Sent using Jamii Forums mobile app
Google list of NGOs, chagua zile ambazo ziko mkoa unaotaka. Pambana upate namba au emails zao. Piga moja kwa moja, wengi kule ni watu waelewa. Tuma kwa zile NGOs ndogo na kati coz ushindani ni mdogo, hawa wakubwa wanalipa lkn ushindani ni mkubwa