Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Mfumo utakua ulikua na shida, wamenitumia email kuwa watanitaarifu muda na tarehe kwa ajili ya kufanya iyo quiz tena
 
Nami sielewi nimeingia hyo saa tisa ila imenigomea kuingia embu nielewesheni ambao mumeweza kuingia na kufanya hyo testi
Screenshot_20230301-165613_1.jpg
 
Mimi mwenyew imenizingua kinoma nkajua Tu hapa itakuwa shida ya mtandao muda ulipoisha nkaavhana nayo, badae ndo naingia nakutana na email yao wamesema watatoa tena siku nyingine na watanitaarifu
 
Waungwana mtandao unashida hivyo watatoa taarifa ya siku na muda wa test itarudiwa..
Wakuu tupeane tips Basi au link ya maswali ya uptitude test. Tusaidianeni tu Kwa anaejua maisha ndo Haya Haya.
 
Wametuma tena email nyingine, inafanyika leo saa7
 
Back
Top Bottom