warda nassor
Member
- Mar 3, 2023
- 9
- 3
Nani aliyebahatika kujibu maswali nmb direct sales office
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani aliyebahatika kujibu maswali nmb direct sales officer
Nani aliyebahatika kujibu maswali nmb direct sales office
😂😂😂😂Aise pepa la leo mhhh sijui watachukua kuazia ngapi mana kuna tulik pata 40 huku [emoji23][emoji28][emoji23]
mimi hapaNani aliyebahatika kujibu maswali nmb direct sales office
CRDB ndo usiseme yaan ni shida sanaKazi za NMB zinakuwaga za mchongo ivo ivo,..nilishaacha kuapply.
Mm mwenyewe nimepata
Mm mwenyewe nimepata 42
Kuna dalili ya kuitwa hapo?Mm mwenyewe nimepata 42
Mm mwenyewe nimepata 42
Yaani mpaka najiuliza huwa wanatangaza ili iweje?,..si Bora wawe wanabebana kimya kimya,..CRDB ndo usiseme yaan ni shida sana
Lengo la kutangaza ni kufuata formality tu ili kuwadanganya auditors.Yaani mpaka najiuliza huwa wanatangaza ili iweje?,..si Bora wawe wanabebana kimya kimya,..
kwa upande wangu sijaitwa kabisaaaHlw wazima humu any update, kuna yeyote aliye itwa oral
Bado Muda nadhan email watatuma next week za feedback, lakin kwa waliofaulu watapigiwa simuHlw wazima humu any update, kuna yeyote aliye itwa oral
izi ni za ndaaaani kabisa au ??Bado Muda nadhan email watatuma next week za feedback, lakin kwa waliofaulu watapigiwa simu
Bado Muda nadhan email watatuma next week za feedback, lakin kwa waliofaulu watapigiwa simu
Iseh sio mchezo naona kimya,nyie mkiiangia kwenye account zenu mnaandikiwaje ,Mimi nikiingia naona imeandikwa Bancainsurance course,nyie vipi wadau