Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Maswali hasa ya hesabu za chemsha bongo na baadhi ya direct sales, kikubwa muda huwa ni mdogo 20 minutes kwa maswali 40. Ukiweza kuwa na simu mbili moja uwe unagoogle baadhi ya maswali(chabo[emoji3])
Google imekuja na tool mpya, inaitwa solve homework, ina-solve maswali mbalimbali.
 
1677839194200.png

Nimepata ivyo ndugu zangu kuna kuitwa kweli hapa
 
Back
Top Bottom