Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

naskia wameanza uchukua kuanzia waliopata 30/100%
Uongo bhana 😂😂 Very soon watatupa feedback ila 30 haijawahi tokea
Kwan hua Wana chukua muda Gani wadau mpaka hatua za kupiga hzo simu?
Ni mwezi mmoja tangu umalize aptude, na huwa wanatuma kwa walio shindwa kuendelea, aliyepita atasubilia simu ya kuitwa tu kwa jaili ya oral
 
Kuna wawili wa dar wamepigiwa simu wao mmoja alipata 50,so kwamwaka uhu atuna huwakika tusubiri
 
Back
Top Bottom