Joseph Waga
Member
- May 8, 2015
- 29
- 3
80%Ulipata ngapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
80%Ulipata ngapi mkuu
Sio kwel ....najua watu waliopata hizi kazi Bila kujuana na mtu yeyote,mimi nimeshasign mpaka contract na simjui mtu yeyote NMBWe uhakika chamsingi hakikisha simu yako ipo hewan muda wote na uwe unapitia mail zao....
Kwa upande mwngne hawa jamaa wapuuzi sana wanakuaga na watu wao wanawachomeka
Sio kwel ....najua watu waliopata hizi kazi Bila kujuana na mtu yeyote,mimi nimeshasign mpaka contact na simjui mtu yeyote NMB
Kweli KABISA NMB wako fair sana.Sio kwel ....najua watu waliopata hizi kazi Bila kujuana na mtu yeyote,mimi nimeshasign mpaka contract na simjui mtu yeyote NMB
Kuna mtu alituambua kaka ake anafahamiana na HR tukajua uhakika ila kwenye kujaza contract hatukumuonaKweli KABISA NMB wako fair sana.
Washaga nipigia sim wakasema nichague branch. Then sim ya pili ni kwenda uko…. Ad leo bhado #LakezoneWe uhakika chamsingi hakikisha simu yako ipo hewan muda wote na uwe unapitia mail zao....
Kwa upande mwngne hawa jamaa wapuuzi sana wanakuaga na watu wao wanawachomeka
bado etWatu wa Banc Lakezone sim hazjaita tu?
ee hongera...ulivofanya interview ulikaa muda tena kusubir majibu?Sio kwel ....najua watu waliopata hizi kazi Bila kujuana na mtu yeyote,mimi nimeshasign mpaka contract na simjui mtu yeyote NMB
Hapana nimefanya jumatatu kesho yake nikaitwa almost mpaka ijumaa nikawa nimeshakamilisha kila wanachokihitaj nika sign contractee hongera...ulivofanya interview ulikaa muda tena kusubir majibu?
Vipi wanalipaje mkuu kama hutojaliHapana nimefanya jumatatu kesho yake nikaitwa almost mpaka ijumaa nikawa nimeshakamilisha kila wanachokihitaj nika sign contract
ni zone ipi?Hapana nimefanya jumatatu kesho yake nikaitwa almost mpaka ijumaa nikawa nimeshakamilisha kila wanachokihitaj nika sign contract
ni zone ipi?
Wakuu kuna yeyote wa zone ya dar es salaam aliepigiwa?
hizi za bancassuarance ambazo deadline yake ilikuwa mwezi huu washaanza kutoa i
bhado ila sisi tunaongelea za siku za nyumaHivi hizi za bancassuarance ambazo deadline yake ilikuwa mwezi huu washaanza kutoa feedback??
ad tunakata tamaaPost gani banc au dss. Dsm na lakezone naona bhado