Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

We uhakika chamsingi hakikisha simu yako ipo hewan muda wote na uwe unapitia mail zao....

Kwa upande mwngne hawa jamaa wapuuzi sana wanakuaga na watu wao wanawachomeka
Sio kwel ....najua watu waliopata hizi kazi Bila kujuana na mtu yeyote,mimi nimeshasign mpaka contract na simjui mtu yeyote NMB
 
We uhakika chamsingi hakikisha simu yako ipo hewan muda wote na uwe unapitia mail zao....

Kwa upande mwngne hawa jamaa wapuuzi sana wanakuaga na watu wao wanawachomeka
Washaga nipigia sim wakasema nichague branch. Then sim ya pili ni kwenda uko…. Ad leo bhado #Lakezone
 
Hivi hizi za bancassuarance ambazo deadline yake ilikuwa mwezi huu washaanza kutoa feedback??
 
Back
Top Bottom