Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Jamani waliofanya interview ya DSS ya Aptitude test tarehe21/10/2024.Tujuane jamani kwa lolote tufahamishane..
 
Bado hakuna taarifa ndugu,tuendelee kusubiri..Mimi niliomba kma nikiitwa oral niitwe western zone.Japo sijajua watatumia vigezo Gani kuita.
Niliona jana kuna mtu kasema wameshaanza kuita Lake zone. Alafu siunaitwa zone uliyoombea hiyo Kwani wewe uliombea zone gani...? Alafu nenda kwenye lile tangazo la kazi lile la nafasi 300 direct sales officer soma zile comment mbaka page ya mwisho kabisa utaona watu wanasema washaanza kuitwa oral
 
Shida sio test shida ni nyie hamjui kutumia computer halafu kingine hamuwezi kutatua jamboo kwa haraka .
Halafu mnaajiriwa ndio maana nchi haiendelei vile inapaswa ina watu kama nyie sasa mnajadili . Mjuzi mmoja ndio anajitokeza kwa bahati yeye mwenyewe sio mjuzi kivile anawalamba lamba ndio anawafundisha jinsi yakufanya . Shame shame
 
Naomba connection ya kazi ,unaonekana una mchango wa maana kabisa kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…