Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

1687584120535.png
Hata aptitude test sijafanya nikatumiwa hiyo
 
Mshahara laki tatu na hamsini na Tisa......hongera saaana
du bank laki tatu au ni kazi ya mkataba mwaka mwaka hata kama ni ivyo mbna wengne permanent wanalipwa pesa nzuri sijui laki tisa
 
Wakuu maswali ya Aptitude test sana ni yapi maana nimetumiwa email ya test itakayofanyika jumanne kwa application za disemba.
 
Wakuu maswali ya Aptitude test sana ni yapi maana nimetumiwa email ya test itakayofanyika jumanne kwa application za disemba.
Mm niliwahi kufanya huko nyuma sasa sijui kama format imeshabadilika .Kwanza kwenye aptitude hakukuwa na swali lolote linalohusu bank sijui mission wala vision.

Aptitude ilikuwa imegawanyika katika sehemu kuu tatu 1 numerical reasoning 2 communication skills 3 Situation test

1.Numerical reasoning utakutana na maswali mengi ya hesabu yanayohitaji ufikirie haraka zaidi kutafuta missing number, percentage, umri, charts, graphs, Average etc

2.Communication skills, utajaza sehemu zilizo wazi, utaambiwa uchague maneno yenye maana sawa au inayokaribiana , unaweza kuletewa paragraph Kisha ujibu maswali

3. Situation hapa utaletewa paragraph kibao unasoma unakuta ndani kuna tatizo fulani kwenye maswala ya kibank halafu wanakutaka wewe utoe solution.

Unaweza pia ukagoogle kuhusu aptitude test uone jinsi zinavyokuwa ni maswali madogo madogo ya kupima uelewa lakini yanaweza kukutoa jasho vibaya sana

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom