Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Okay pengine, mimi pia nimetumiwa ila sija click hiyo link pengine nikajua mpaka muda niliopangiwa ufike..
Fresh mwanangu kesho ni kupambana then nimepita site kadhaa hii test iko ki mtego sana inafanya analysis kali sana ko marks kubwa kuna muda haikupi kigezo cha kupita kuna vitu unapojibu maswali vinaji analyze mfano uwepesi wa ku respond maswali etc.
 
Ni muda wowote utaopenda kujilipua kati ya saa 10:00 hadi saa 20:00 usiku hata muda huu unaweza kufanya.
 
Back
Top Bottom