Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

zinazunguka dunia nzima, zipo satalaiti elf 5 za starlink,

View attachment 2917395
kwa ratio ya ukubwa wa dunia na satelite hivyo vikolokolo haviziwez kuonekana au kwa uwiano huo wa picha dunia ya ukubwa huo na satelite za ukubwa huo bas amin kwamba satelite zako zingekua na ukwa wa mamia ya kilometer za mraba
 
Ni satelaiti za kampuni ya internet ya starkink inayomilikiwa na Elon Musk.

Internet hii inapatikana hata uwe bondeni, milimani, porini, kijijini, n.k. Internet haina kikomo utatumia unavyotaka (Unlimited)

Elon Musk aliwahi kuja Tanzania kuomba vibali ili alete ofisi zake watanzania tunufaike na hii huduma lakini waziri wetu wa teknolokia Nnape Nnauye alituangusha

Internet hii imesambaa nchi nyingi, Nchi jirani zinazofaidi huduma hii ni Kenya, Rwanda, Malawi, Zambia na Msumbiji. Sisi tutabaki kushangaa na kukodolea macho hizo satelaiti.

Kuna takribani satelaiti elf 5 za starlink zinazunguka juu ya anga hapa duniani, hakuna haja ya mnara ukiwa na starlink, popote duniani utapata intenet, wenzetu wanafaidi teknolojia za kisasa.



 
Kazi millet boy anaupiga mwingi
 
Mbagala leo bongo fm imezindiliwa huenda wamerusha fataki usiku huu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…