Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

Nahisi kulikuwa kuna sababu za kitoto kwamba mitandao ya simu iliogopa itapoteza wateja kwenye huduma za internet, pia internet hii ni unlimited unatumia utakavyo sio ya kupimiwa GB....
daah! asante ndugu yangu kwa maelekezo, ila mpaka kupiga hatua za maendeleo inabidi kizazi fulani kipite kwanza.

hivi hamna jinsi ya kupata intanet yao nje ya mfumo?
 
Fun fact starlink iko Kenya na Rwanda ambako Starlink hawana ofisi.

Mozambique na Malawi pia wanafaidi...

Sisi hawa jamaa wenye mamlaka wazee wa 10% watakuwa wanataka wakatiwe chao ili watoe ruksa...
 
Mimi nipo kimara hapa pia nimeshuhudia hayo maajabu halafu huo mstari umepotea angani kimiujiza kama kimondo
 
Nimeziona pia kama nusu saa iliyo pita pande za Moshi
 
Space X wanafanya tapping ya geopositioning
 
Waziri ali-amplify hofu ya TISS kuwa endapo wananchi watakuwa na uhakika wa mawasiliano tena kwa gharama nafuu itapelekea kukatwa mirija ya mabosi wao wanaowalinda kwa viapo vya damu.


Seriously, hii nchi inahitaji brain bastards wenye uthubutu chanya na ubunifu wenye minofu
 
Yawezekanani Elon Musk na ma-satelite yake.
 
Huyo ni Elon Musk anapitisha satelaite zake za StarLink.
 
Acha kuandika ujinga hapa. Wewe ndiye mwenye taarifa halafu unataka sisi tukujuze.

Pumbavu sana
Mbn unapanik mkuu amnga lina mambo mengi amayo sio kila mtu anaelewa, alichokiona ni satellite za starlink ila yeye hakujua
 
Anga liko salama shaka ondoa! Otherwise Jeshi shupavu la wananchi wangesha kisambaratishia mbali huko.
 
Haya

waswahili tuendelee na uchawa na kukata viuno

  • wajuvi hizo starlink zina mission gani?
  • wanataka kuvumbua nn?

- zinakuwa uko juu kwa muda gani?

na kama zinapita tu ovyoovyo uko angani usalama wetu ukoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…