Jamaangu mmoja amenicheki juzi anadai wanauza mzigo kwa akili sana sahizi maana hali ni tete. Af uwezekano wa kupata mzigo mwengine inakuwa ni ngumu.Gari Bandarini na mizigo mingi imepungua either kutoka Japan ama China,Kiuhalisia sie tunategemea sana mzunguko mzuri wa Biashara toka nje..
Gari ukiagiza zinachelewa kufika (Meli nyingi hazifanyi kazi kama zamani)
Wanaofuata Mzigo China sitaki ku I imagine hali wanayopitia kwa Sasa(Stock ikiisha madukani hali itakuwa mbaya zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huko Bandarini hakufai...Fikiria tu hata ukiagiza gari uhakika wa kuipata kwa muda ni mdogo sana!!Jamaangu mmoja amenicheki juzi anadai wanauza mzigo kwa akili sana sahizi maana hali ni tete. Af uwezekano wa kupata mzigo mwengine inakuwa ni ngumu.
Dah, hio ni hatari mzee. Itakuwa unaagiza gari unasubiria miezi mpaka meli ijaze ndio iondoke.Mkuu huko Bandarini hakufai...Fikiria tu hata ukiagiza gari uhakika wa kuipata kwa muda ni mdogo sana!!
Sasa Kama umeagiza magari kwa ajili ya biashara uhakika wa kuyapata kwa muda ule tuliozoea wa Siku 40 to 50 ni mdgo mno!!
Sent using Jamii Forums mobile app
ebu tulia mkuu huko kwa sasa sio sehemu ya kwenda biashara nasikia imeshuka jana nilikua naelekea huko bongo kufika mbezi nasikia kuna mgonjwa korona kavuta nikamwambia kondakta asimamnishe basi nirudi zangu mkoaniHii ni kwa Wakulungwa na wanaharakati na wabishi mliopo bongo DSM.
Naomba kujuzwa hali ya biashara ikoje kwa sasa kwa scales zote yani biashara kubwa na ndogo ndogo za kitaa?
pole mkuu ila ingekaa ata mizi 8 hiv wazungu waache kutunyonyaDunia nzima lilipoingia hili gonjwa watu walikuwa wanaendelea na mishemishe zao tu
Lakini mipaka iliponza kufungwa joto likaanza kwa wenye makampuni ya ndege, taratibu biashara kubwa zikaanza kuzorota
Baada ya hapo lockdowns zikaanza ndio hali ikaanza kuwa ngumu zaidi watu wakaambiwa wakae ndani
Hapo garage zikaanza kufunga milango maana hakuna gari za kutengeneza
Kufumba na kufumbua makampuni mengi ya kuanzia ya nguo wakafukuza kazi watu wengi
Nchi nyingi zikaanza kutoa amri ya kukaa mbali watu (social distancing) hii Ikafanya wengi wakae ndani
Mpaka mazishi sasa hakuna kukutana zaidi ya watu watatu na hili limeuwa kampuni 2000 za kuuza mauwa na miti Ulaya
Imagine Hakuna cha birthday wala kupeleka tena flowers [emoji255] hospitali
Watu wamekula hasara sana duniani
Tufuate ushauri wa wataalamu na hali inaelekea kuwa mbaya zaidi duniani
Kila ninaempigia anasema kafunga biashara yake huku nje
Biashara zilizobaki ni essentials tu wengine tumelala kusubiri Corona apite
Ila lini hatujui ni Mungu tu anajua
Sent from my iPhone using Tapatalk
Jombaa uko concious kinomaebu tulia mkuu huko kwa sasa sio sehemu ya kwenda biashara nasikia imeshuka jana nilikua naelekea huko bongo kufika mbezi nasikia kuna mgonjwa korona kavuta nikamwambia kondakta asimamnishe basi nirudi zangu mkoani
Kila mtu na ufahamu wake unataka nimuache mjene mkengu na watoto kwa ajiri ya uzembe wangu !nimegeuza zangu chap leo nimefika home nacheza na wangu korona sio jambo la kispotispotiJombaa uko concious kinoma
JIWE a,mevurga kila kitu kakimbilia chamwino
Mkuu huko Bandarini hakufai...Fikiria tu hata ukiagiza gari uhakika wa kuipata kwa muda ni mdogo sana!!
Sasa Kama umeagiza magari kwa ajili ya biashara uhakika wa kuyapata kwa muda ule tuliozoea wa Siku 40 to 50 ni mdgo mno!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kwa Wakulungwa na wanaharakati na wabishi mliopo Bongo DSM.
Naomba kujuzwa hali ya biashara ikoje kwa sasa kwa scales zote yani biashara kubwa na ndogo ndogo za kitaa?
Kweli kabisa inabidi kubadilika haraka iwezekanavyo.kipindi hiki sio cha kufanya biashara ya gari, uganda museven kapiga ban mpaka gari binafsi kuzurula, yani hiki kipindi mtu kama una pesa lima tu mazao ya chakula, gari hazitouzika maana hata WHO inasema chanjo ya corona itapatikana baada ya mwaka na nusu
hapo watakao nunua magari hawapo
Sent using Jamii Forums mobile app
pole mkuu ila ingekaa ata mizi 8 hiv wazungu waache kutunyonya