Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #21
Jamaangu mmoja amenicheki juzi anadai wanauza mzigo kwa akili sana sahizi maana hali ni tete. Af uwezekano wa kupata mzigo mwengine inakuwa ni ngumu.Gari Bandarini na mizigo mingi imepungua either kutoka Japan ama China,Kiuhalisia sie tunategemea sana mzunguko mzuri wa Biashara toka nje..
Gari ukiagiza zinachelewa kufika (Meli nyingi hazifanyi kazi kama zamani)
Wanaofuata Mzigo China sitaki ku I imagine hali wanayopitia kwa Sasa(Stock ikiisha madukani hali itakuwa mbaya zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app