Mliopo Dar, hali ya kibiashara ikoje sasa?

Gari Bandarini na mizigo mingi imepungua either kutoka Japan ama China,Kiuhalisia sie tunategemea sana mzunguko mzuri wa Biashara toka nje..

Gari ukiagiza zinachelewa kufika (Meli nyingi hazifanyi kazi kama zamani)

Wanaofuata Mzigo China sitaki ku I imagine hali wanayopitia kwa Sasa(Stock ikiisha madukani hali itakuwa mbaya zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaangu mmoja amenicheki juzi anadai wanauza mzigo kwa akili sana sahizi maana hali ni tete. Af uwezekano wa kupata mzigo mwengine inakuwa ni ngumu.
 
Mkuu huko Bandarini hakufai...Fikiria tu hata ukiagiza gari uhakika wa kuipata kwa muda ni mdogo sana!!

Sasa Kama umeagiza magari kwa ajili ya biashara uhakika wa kuyapata kwa muda ule tuliozoea wa Siku 40 to 50 ni mdgo mno!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huko Bandarini hakufai...Fikiria tu hata ukiagiza gari uhakika wa kuipata kwa muda ni mdogo sana!!

Sasa Kama umeagiza magari kwa ajili ya biashara uhakika wa kuyapata kwa muda ule tuliozoea wa Siku 40 to 50 ni mdgo mno!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, hio ni hatari mzee. Itakuwa unaagiza gari unasubiria miezi mpaka meli ijaze ndio iondoke.
 
Dunia nzima lilipoingia hili gonjwa watu walikuwa wanaendelea na mishemishe zao tu
Lakini mipaka iliponza kufungwa joto likaanza kwa wenye makampuni ya ndege, taratibu biashara kubwa zikaanza kuzorota
Baada ya hapo lockdowns zikaanza ndio hali ikaanza kuwa ngumu zaidi watu wakaambiwa wakae ndani

Hapo garage zikaanza kufunga milango maana hakuna gari za kutengeneza
Kufumba na kufumbua makampuni mengi ya kuanzia ya nguo wakafukuza kazi watu wengi
Nchi nyingi zikaanza kutoa amri ya kukaa mbali watu (social distancing) hii Ikafanya wengi wakae ndani
Mpaka mazishi sasa hakuna kukutana zaidi ya watu watatu na hili limeuwa kampuni 2000 za kuuza mauwa na miti Ulaya
Imagine Hakuna cha birthday wala kupeleka tena flowers [emoji255] hospitali
Watu wamekula hasara sana duniani
Tufuate ushauri wa wataalamu na hali inaelekea kuwa mbaya zaidi duniani
Kila ninaempigia anasema kafunga biashara yake huku nje
Biashara zilizobaki ni essentials tu wengine tumelala kusubiri Corona apite
Ila lini hatujui ni Mungu tu anajua

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hii ni kwa Wakulungwa na wanaharakati na wabishi mliopo bongo DSM.

Naomba kujuzwa hali ya biashara ikoje kwa sasa kwa scales zote yani biashara kubwa na ndogo ndogo za kitaa?
ebu tulia mkuu huko kwa sasa sio sehemu ya kwenda biashara nasikia imeshuka jana nilikua naelekea huko bongo kufika mbezi nasikia kuna mgonjwa korona kavuta nikamwambia kondakta asimamnishe basi nirudi zangu mkoani
 
pole mkuu ila ingekaa ata mizi 8 hiv wazungu waache kutunyonya
 
Jombaa uko concious kinoma
 
Nishawahi ugua magonjwa ya mlipuko tena lile moja la hatari chupchup nisepe kwa mungu sasa nimekua muoga!nilikua niko dar nachukua mzigo nimerudi tu home chuga sina hili wala lile kwa zarau zangu na hamu ya nyama choma mtaani pale mbauda nikenda kupiga nyama na nyagi kazaa!kumbe nammeza kidudu BONDE LA UFA usikie tu huo ugonjwa ndio maana nimegeuzia mbezi yasijirudie nikiwa dar
 
Mkuu huko Bandarini hakufai...Fikiria tu hata ukiagiza gari uhakika wa kuipata kwa muda ni mdogo sana!!

Sasa Kama umeagiza magari kwa ajili ya biashara uhakika wa kuyapata kwa muda ule tuliozoea wa Siku 40 to 50 ni mdgo mno!!

Sent using Jamii Forums mobile app

kipindi hiki sio cha kufanya biashara ya gari, uganda museven kapiga ban mpaka gari binafsi kuzurula, yani hiki kipindi mtu kama una pesa lima tu mazao ya chakula, gari hazitouzika maana hata WHO inasema chanjo ya corona itapatikana baada ya mwaka na nusu
hapo watakao nunua magari hawapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alhamdulilah huku Pwani hali si mbaya... Watoto wanaenda chooni
Hii ni kwa Wakulungwa na wanaharakati na wabishi mliopo Bongo DSM.

Naomba kujuzwa hali ya biashara ikoje kwa sasa kwa scales zote yani biashara kubwa na ndogo ndogo za kitaa?

Jr[emoji769]
 
kipindi hiki sio cha kufanya biashara ya gari, uganda museven kapiga ban mpaka gari binafsi kuzurula, yani hiki kipindi mtu kama una pesa lima tu mazao ya chakula, gari hazitouzika maana hata WHO inasema chanjo ya corona itapatikana baada ya mwaka na nusu
hapo watakao nunua magari hawapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa inabidi kubadilika haraka iwezekanavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole mkuu ila ingekaa ata mizi 8 hiv wazungu waache kutunyonya

Asante Mkuu ila la miezi 8 punguza kidogo
Kufa ni wajib ila pia cha moto kinakuja
Niko ndani week tu utafikiri mwezi mpaka siku nimezisahau
Ila kuna ajabu sana naiona huku wale walikuwa wanacheza kamari kwisha habari yao
Wauza pombe wote wamefunga biashara na kuna watu nawajua wanakunywa wanasema hawanywi tena na hela wana save kwa chakula [emoji23]
Kweli watu wengi wameeanza kuijua thamani ya hela na hali ikiendelea hivi hata thamani yake hatutaiona kabisa maana una chakula kimejaa nyumbani
Gari halili mafuta tena na mwisho hela unaiona kama karatasi tu hainunui hata toilet paper

Mkuu futa kauli ya miezi 8 tutawehuka humu
Acha nikaruke ruke garden

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom