Mliopo ndani ya ndoa watoto ndio chaguo la kwanza(wapende hao)

Markomx

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2016
Posts
809
Reaction score
981
Wakuu kwa wazoefu wanajua Hii code

Kwa waliowahi kutoka na wake za Watu amini nakwambia,hao watoto uliobahatika kuzaa hao ndio ndugu zako,faraja yako wekeza nguvu hapo,ila huyo kiumbe wa pembeni amini nakwambia huyo ndio adui yako wa kwanza,sio jana sio leo sio kesho ipo hivyo,

Kwa waliowahi kutendwa ndani ya ndoa wanajua

Kunawatu wamekufa,kufungwa jela(kuua),kuyumba kiuchumi,kuingia kwenye migogoro mbalimbali,kuwa walevi wa kupindukia kisa kuwaamini sana hawa viumbe hata mm nipo kwenye kundi la hapo juu moja wapo

Ukiwa ndani ya mfumo huwezi jua unaweza ukahisi mtu wako yupo salama muda wote ila uhalisia na mala nyingi ogopa sana mwanamke anapokua mbali na wewe

Hivi vitripu vya kuludi nyumbani ogopa sana,visemina wiki hayupo kazi fulani mbali kidogo na wewe hata awe mbali na wewe kilomita 20 bos usijiamini sana

Unakaa mkoa x mke yupo mkoa x Hii ni hatari 90%,japo sio wote inategemea na akili za mtu,ila 90% ogopa sana

Kwa wale wenye tabia ya kusema siwezi mfatilia mtu wangu mimi wife namuamini sana usidanganywe

Ule utoto wa kushikiana simu mnajiamini tukumbuke kuna simu ndogo na laini za siri kuijua hiyo sio leo

Mwisho Watu pekee wakuwaamini ni watoto,hao ndio wapenzi wako muda wote hawataweza kukugeuka
 
Mwisho Watu pekee wakuwaamini ni watoto,hao ndio wapenzi wako muda wote hawataweza kukugeuka✔💪🏿
 
Iheshimu sana Taasisi ambayo unapewa Cheti mapema kabisa kabla hata haujahitimu.

Mke wangu nimemtoa Bikra, ni Mama bora, mzuri na ana kila sifa ya zaidi ya kuitwa Wife material, hajawah niletea mapicha picha au mm kuhisi sintofahamu , ukiacha mawivu yangu ya hapa na pale.

Wote kwa pamoja tunajitahidi kudumisha amani na upendo, niko nae mwaka wa 17 huu.
Lakini Still sijampa 100%. Bado kuna room kuwa tunaweza zinguana huko mbeleni. Maana sisi ni Binadamu.

Expecting the Best and prepare for the worst.

Na nimeona meng kwenye ndoa za wengine. Hasa zilizotengana. Na ambazo wanaume wenzangu wanahadithia changamoto wanazopitia ndani ya Ndoa.

Itoshe kusema Ndoa sio ya Kuuogopa.
Ila IHESHIMIWE na mke na Mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…