- Thread starter
- #21
Mkuu wewe ndio umeelewa vizuri,unaweza kua nao vizuri mwanzo ila mwishoni wakakugeuka ishi nao kimachale machaleMwisho Watu pekee wakuwaamini ni watoto,hao ndio wapenzi wako muda wote hawataweza kukugeuka✔💪🏿

The best part of the thread💪🏿Mkuu wewe ndio umeelewa vizuri,unaweza kua nao vizuri mwanzo ila mwishoni wakakugeuka ishi nao kimachale machale
Njia ya kuumizwa/kutesa!Bora hao ni damu yako,ni sawa tu wamechukua urithi