M Markomx JF-Expert Member Joined Apr 23, 2016 Posts 809 Reaction score 981 Sep 11, 2026 Thread starter #21 Mshana Jr said: Mwisho Watu pekee wakuwaamini ni watoto,hao ndio wapenzi wako muda wote hawataweza kukugeuka✔💪🏿 Click to expand... Mkuu wewe ndio umeelewa vizuri,unaweza kua nao vizuri mwanzo ila mwishoni wakakugeuka ishi nao kimachale machale
Mshana Jr said: Mwisho Watu pekee wakuwaamini ni watoto,hao ndio wapenzi wako muda wote hawataweza kukugeuka✔💪🏿 Click to expand... Mkuu wewe ndio umeelewa vizuri,unaweza kua nao vizuri mwanzo ila mwishoni wakakugeuka ishi nao kimachale machale
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Sep 11, 2026 #22 Markomx said: Mkuu wewe ndio umeelewa vizuri,unaweza kua nao vizuri mwanzo ila mwishoni wakakugeuka ishi nao kimachale machale Click to expand... The best part of the thread💪🏿
Markomx said: Mkuu wewe ndio umeelewa vizuri,unaweza kua nao vizuri mwanzo ila mwishoni wakakugeuka ishi nao kimachale machale Click to expand... The best part of the thread💪🏿
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Sep 11, 2026 #23 Markomx said: Bora hao ni damu yako,ni sawa tu wamechukua urithi Click to expand... Njia ya kuumizwa/kutesa!
Markomx said: Bora hao ni damu yako,ni sawa tu wamechukua urithi Click to expand... Njia ya kuumizwa/kutesa!
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,899 Reaction score 73,370 Sep 11, 2026 #24 Kama mke nasema tawireeeeee
S Strategist7 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 810 Reaction score 1,644 Sep 12, 2026 #25 Hata watoto wanaweza kukubadilikia japo mara nyingi watoto wana upendo wa kweli kwa wazazi. Ishi na mtu yeyote yule ukijua kwamba binadamu anaweza badilika vibaya na jiandae kwa hilo angalau kiakili.
Hata watoto wanaweza kukubadilikia japo mara nyingi watoto wana upendo wa kweli kwa wazazi. Ishi na mtu yeyote yule ukijua kwamba binadamu anaweza badilika vibaya na jiandae kwa hilo angalau kiakili.