Mliosikiliza cd ya askofu mpemba tujulisheni ina uchochezi gani?

Oikos

Senior Member
Joined
May 5, 2011
Posts
198
Reaction score
111
Binafsi nimejionea DVDS nyingi sana ambazo zimekuwa zikiuzwa kama njugu katika nchi kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukiziangalia DVDS hizo unapata taabu kuamini kama vyombo vya dola kweli viko kazini. Matusi juu ya matusi, vitisho juu ya vitisho na mbaya zaidi kuna maonesho ya Wakristu kuchinjwa huku wachinjaji wakitaja jina la mungu wao.

Nahangaika sana kuona ukimya wa Serikali kuendelea kwa muda wote huo wakati funzo kubwa katika DVDS hizo lilikuwa ni watu kuchinja Wakristu. Nimesikia juu juu tu kuwa hii cd ya Askofu Mpemba inafundisha Wakristu kuchinja kuku, bata na wanyama na si kuchinja watu.

Mlioisikia naomba mnisaidie hapa, hivi ina maneno yepi ya uchochezi gani ndani yake? Naambiwa pia haikurekodiwa na Askofu peke yake... cd hiyo ya kuchinja wanyama na ndege nimepashwa kuwa inakatazwa isionekane wakati hizi za wachinja watu ziko mtaani...... hapo patamu Tanzania!!
Ni kizunguzunguzu au kizungumkuti hiki?
Aliyenayo anibonyeze nami niisikilize hata kama ni kwa kujificha chooni...
 
Binafsi nimejionea DVDS nyingi sana ambazo zimekuwa zikiuzwa kama njugu katika nchi kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukiziangalia DVDS hizo unapata taabu kuamini kama vyombo vya dola kweli viko kazini. Matusi juu ya matusi, vitisho juu ya vitisho na mbaya zaidi kuna maonesho ya Wakristu kuchinjwa huku wachinjaji wakitaja jina la mungu wao.
Nahangaika sana kuona ukimya wa Serikali kuendelea kwa muda wote huo wakati funzo kubwa katika DVDS hizo lilikuwa ni watu kuchinja Wakristu.
Nimesikia juu juu tu kuwa hii cd ya Askofu Mpemba inafundisha Wakristu kuchinja kuku, bata na wanyama na si kuchinja watu.
Mlioisikia naomba mnisaidie hapa, hivi ina maneno yepi ya uchochezi gani ndani yake? Naambiwa pia haikurekodiwa na Askofu peke yake.....
cd hiyo ya kuchinja wanyama na ndege nimepashwa kuwa inakatazwa isionekane wakati hizi za wachinja watu ziko mtaani...... hapo patamu Tanzania!!
Ni kizunguzunguzu au kizungumkuti hiki?
Aliyenayo anibonyeze nami niisikilize hata kama ni kwa kujificha chooni...

Brother,Nitakwambia kitu kimoja nakuomba kiweke akilini,"Ukimsikia mtu anaongea kuhusu dini uje huyo ni mdini,ukimsikia mtu anaonge Ukabila uje huyu ni mkabila"...

Nafikiria wewe si mmoja wa hao mapadri na Masheikh wanaotangaza chuki na ubaya kwa dini nyengine

Kitu kizuri cha kufanya ni kujaribu kuepukana na yote hayo,Mungu ni mmoja tu sema katuma wajumbe tafauti kwa nyakati tafauti
 
hayo ndio maneneo maana ukiipata hiyo DVD ni lazima utataka uijibu tu na mwanzo wake utaupata
Mm ninacho Kitabu cha Satanic Verses cha Salman Rushdie lakini nikikumegea na wewe utakisambaza vivyohivyo na tutakuwa watu wa uDINI na lazima patafumuka tu dharuba, maana najua wapo watakaonichinja na hakuna wa kunisifia
Mambo ya Kaisari muachioe Kaisari na mambo ya MUNGU ..................
 
JK alikuwa anataka wa kubalance sasa wamepata penye weak point ndo hapo wanasimamia ili wamkamate shehe Ilunga. Ukiwa na govt kama ya Jk kila uovu inawezekana. Wanaona wakristo ni Wastaarabu sasa wamepata pa kusemea ili wote tuwe kwenye pull moja. Kwenye serikali ya JK inawezekana kabisa kwa mfagizi kuwa boss wa shirika na boss kuwa mfagizi coz ya undugulization na udini
 
Brother,Nitakwambia kitu kimoja nakuomba kiweke akilini,"Ukimsikia mtu anaongea kuhusu dini uje huyo ni mdini,ukimsikia mtu anaonge Ukabila uje huyu ni mkabila"...

Nafikiria wewe si mmoja wa hao mapadri na Masheikh wanaotangaza chuki na ubaya kwa dini nyengine

Kitu kizuri cha kufanya ni kujaribu kuepukana na yote hayo,Mungu ni mmoja tu sema katuma wajumbe tafauti kwa nyakati tafauti

Hapana. Dini zimekuwapo kwa miaka mingi. Ndo maana hata serikali iliwatambua watu na dini zao ingawa haina dini. Mahakamani utaandika wewe ni dini gani. Kuhubiri ni kazi yao mapadri na mashehe. Tatizo ni aina ya mahubiri. Pia logic ya Mungu mmoja ni uongo mkubwa.
 
Mungu wenu ni Mungu mmoja. Lakini wasio iamini Akhera nyoyo zao zinakataa, nao wanajivuna. Qur'an 16:22

Na wanapo ambiwa: kateremsha nini Mola wenu Mlezi? Husema: hadithi za kubuni za watu wa kale! Qur'an 16:24
 
Biblia haisemi hivyo.

Yohana 14:6

[SUP]6 [/SUP]Yesu akawaambia, "Mimi ndimi Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.
 
hakuna mahala yesu alipokiri na kusema "mimi ni mungu"
 
Ila Yesu alisema yeye ni 'mtu'
Yohana 8:40 'Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, MTU ambaye nimewaambia iliyo kweli niliyoisikia kwa Mungu.
 
hakuna mahala yesu alipokiri na kusema "mimi ni mungu"

Akiri mbele za nani? wakati yeye ndio top of all? Kama kuna mungu anayekiri kuwa yeye ni mungu basi huyo sio ALFA NA OMEGA
 
Hiyo si hoja, mtu mwenye uhakika na cheo chake hana haja ya kujitangaza kuwa yeye ni nani.

Yohana 17:3 'Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli, nakumfahamu Yesu Kristo ambaye umemtuma!
 
Kuielewa Philosophy ya Umungu wa yesu ni ngumu kidogo wala sikushangai unavyopinga ila nakuombea siku moja uguswe na mkono wake mtakatifu Uijue kweli Ikuweke huru
 
Hahaaa hahaa nacheka tu michango ya watu hapa, wameanza kama vile wanakwepa kujiingiza katika hoja hii kidini, mwisho wa siku wamezama tenakwa mahubiri makuu.
 
Hivi ingekuwaje kama kizazi cha sasa ndio kingekuwa cha kwanza kupokea hizi dini direct? Manake tumeletewa lakini, mmh?

Na kwa nini tunakosa ujasiri wa kuchukuliana na kuacha kila mtu aamini atakacho?
 
Back
Top Bottom