Binafsi nimejionea DVDS nyingi sana ambazo zimekuwa zikiuzwa kama njugu katika nchi kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukiziangalia DVDS hizo unapata taabu kuamini kama vyombo vya dola kweli viko kazini. Matusi juu ya matusi, vitisho juu ya vitisho na mbaya zaidi kuna maonesho ya Wakristu kuchinjwa huku wachinjaji wakitaja jina la mungu wao.
Nahangaika sana kuona ukimya wa Serikali kuendelea kwa muda wote huo wakati funzo kubwa katika DVDS hizo lilikuwa ni watu kuchinja Wakristu. Nimesikia juu juu tu kuwa hii cd ya Askofu Mpemba inafundisha Wakristu kuchinja kuku, bata na wanyama na si kuchinja watu.
Mlioisikia naomba mnisaidie hapa, hivi ina maneno yepi ya uchochezi gani ndani yake? Naambiwa pia haikurekodiwa na Askofu peke yake... cd hiyo ya kuchinja wanyama na ndege nimepashwa kuwa inakatazwa isionekane wakati hizi za wachinja watu ziko mtaani...... hapo patamu Tanzania!!
Ni kizunguzunguzu au kizungumkuti hiki?
Aliyenayo anibonyeze nami niisikilize hata kama ni kwa kujificha chooni...