Mliosikiliza cd ya askofu mpemba tujulisheni ina uchochezi gani?

Mliosikiliza cd ya askofu mpemba tujulisheni ina uchochezi gani?

Biblia haisemi hivyo.

Yohana 14:6

[SUP]6 [/SUP]Yesu akawaambia, "Mimi ndimi Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.

Yesu aliposema "mtu hawezi kufika kwa baba bila ya kupitia kwangu" kwa kiswahili unaweza kutafisri kuwa "Huwezi kufika kwa Mungu bila ya kupita kwa Yesu"

Maana kamili kuwa yesu ni mtumwa wa mungu,Mungu kamtuma yesu awe kiungo baina ya binaadamu na Mungu,huwezi kumfikia Mungu bila kuyafata aliyofundisha Yesu..

Na hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Daud,Musa,Mohammed huwezi kufika kwa Mungu bila ya kukubali waliyoyafundisha hawa watu.

Hawa akina Daud,Musa;Isa(Yesu);na Muhammad Mungu kawateremshia vitabu wako wengine hawajapewa vitabu

Mungu ni mmoja katuma watume tafauti kwa nyakati tafauti,kwahiyo huyo Kipis hana kosa isipokuwa kaelezea vile anavyojua yeye kutoka na dini yake ambayo imeletwa na mungu huyo huyo
 
Inawezekana kuna miungu wengine,kwani nchi kama India kuna Mungu panya,kima,nyoka nk sasa inategemea wewe una Mungu wangapi

Lakini hoja hapa ilikuwa kuhusu chuki kwa dini nyengine sio kuhusu Miungu,nchi kama India kila mtu anaheshimu dini ya wengine,na kama dini yako ni sawa kwanini uanze kupiga vita dini nyengine, sioni sababu

Mimi nimejibu hoja kama ilivyoletwa. wewe umesoma jibu na kujaa mapovu ingawa umefafanua kile nilichokisema!

Hahahah Interesting, Brother Nyerere kama ulikubaliana na mimi mbona katika comments yako ulianza na neno "Hapana"

Mimi sio kama wewe, nimesoma baadhi ya comments zako wewe umeweka ubishi mbele bila ya kufahamu unachobisha alimradi ubishe tu.

Mimi niko hapa kusoma kutoka kwa wengine na wengine watasoma kutoka kwangu siko hapa
kubishana

My advice to you is, "U have to open your mind before you opening your mouth", utafanikiwa
 
Kwa hiyo yesu ni mungu?? Na maria ni nani kwa maana hiyo?? Na yusufu je??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Baba maswali hayo wenyewe watakwambia mpaka uifahamu Philosophy.

Maria ni mama wa mungu, yusufu alikuwa boyfriend wa mamake mungu kisha ndo akawa mumewe! Ni simple kuelewa concept zao, ni kama Hollywood movies tu.
 
Watashindana hawatashinda!....hili jina Yesu,kuzim wenyewe wanajua ni hatariiiii,so tusibishane nao,tuwaombee!

Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu,mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi mungu). Qur'an 3:45

Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake, na atakuwa katika watu wema. 3:46

Maryamu akasema: Mola wangu mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanadamu?
Mwenyezi mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo,Mwenyezi mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: kuwa! Likawa. 3:47

Na atamfunza kuandika na hikima na Taurati na Injili. 3:48

Na ni Mtume kwa wana wa Israili kuwaambia: Mimi nimekujieni na Ishara kutoka kwa Mola mlezi wenu, ya kwamba nakuundieni kwa udongo kama sura ya ndege. Kisha nampuliza anakuwa ndege kwa idhini ya Mwenyezi mungu. Na ninawaponesha vipofu wa tangu kuzaliwa na wakoma, na ninawafufua maiti kwa idhini ya Mwenyezi mungu, na ninakwambieni mnacho kila na mnacho weka akiba katika nyumba zenu. Hakika katika haya ipo Ishara kwenu ikiwa nyinyi ni wenye kuamini. 3:49

Na ninasadikisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na ili nikuhalalishieni baadhi ya yale mlio harimishiwa,na nimekujieni na Ishara kutokana na Mola mlezi wenu. Kwa hivyo mcheni Mwenyezi mungu na nit'iini mimi. 3:50

Hakika Mwenyezi mungu ni Mola wangu mlezi na Mola wenu mlezi. Basi muabuduni yeye. Hii ndiyo Njia Iliyo nyooka. 3:51

Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi mungu. Tumemuamini Mwenyezi mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu. 3:52

Mola wetu mlezi! Tumeyaamini uliyo yateremsha, na tumemfuata huyu mtume, basi tuandikie pamoja na wanaoshuhudia. 3:53

Na makafiri walipanga mipango na Mwenyezi mungu akapanga mipango, na Mwenyezi mungu ndiye mbora wa wenye kupanga.3:54

Pale Mwenyezi mungu alipo sema Ewe Isa! Mimi nitakufisha,na nitakunyanyua kwangu,na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitilafiana.3:55

Ama wale walio kufuru, nitawaadhibu adhabu kali katika dunia na akhera, wala hawatapata wa kuwanusuru.3:56

Na ama wale walio amini na wakatenda mema basi Mwenyezi mungu atawalipa ujira wao kaamili. Na Mwenyezi mungu hawapendi madhaalimu.3:57

Haya tunayo kusomea ni katika Aya na Ukumbusho wenye hikima.3:58

Hakika mfano wa Isa kwa Mwenyezi mungu ni kama mfano wa Adam;alimuumba kwa udongo kisha akamwambia: kuwa! Basi akawa.3:59

Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wanao fanya shaka.3:60

Watakao kuhoji katika haya baada ya kukufikilia ilimu hii waambie: Njooni tuwaite watoto wetu na watoto wenu,na wake zetu na wake zenu, na sisi wenyewe na nyinyi wenyewe, kisha tuombe kwa unyenyekevu tutake laana ya Mwenyezi mungu iwashukie waongo.3:61

Hakika haya ndoyo maelezo ya kweli. Na hakuna Mungu ila Mwenyezi mungu tu, na hakika Mwenyezi mungu ndiye mwenye nguvu na mwenye hikima.3:62
 
Kama kizazi cha sasa kingekuwa ndio kimepokea hizi dini kuna mabadiliko makubwa ambayo yamebeba tamaduni za kale za hizi dini zilipoanzia hazingekuwepo. mfano ,suala la uvaaji wa kanzu kwa wote wakristo na waislamu lisingekuwepo maana huo ni utamaduni wa mashariki ya kati,suala la kukaachini kwenye nyumba za ibada lisenge kuwepo kwani hizo ni mila za waarabu,wachina ,wajapani na hata wahindi,maneno kama mkate,divai.tende yasingekuwepo kwenye biblia na msaafu kwa sababu ni vyakula vya asili huko middle east,suala la mwanamke lingekuwa tofauti na ilivyo sasa kwani kutokana na ustaarabu ulivyoendelea duniani wanderuhusiwa kuwa viongozi wa dini, aya kalikali zinazoenda kinyume na haki za binaadamu kama jino kwa jino,visasi (kutibahaley kum ill kisas) zisingekuwepo kwenye vitabu,maneno kama computer,internet,yangekuwepo kwenye vitabu hivyo na kungekuwepo kipengele cha amendment pale ambapo sehemu fulani ya maandiko inapitwa na wakati

Ndugu yangu kisha mkifeli jwa asilimia 60 mnaanza kulaumu serikali wakati hamutaki kusoma. Kwanza kabisa kama dini ingekuwa imeletwa saivi basi ingekuwa ndo vile vile. Katika quran ama biblia hakuna sehemu ilosemwa eti Kanzu ni vazi la muumin. Kikubwa ni kuwa muumin anatakiwa ajistiri asiwe uchi. Kwaiyo kama ingeshuka saivi isingekataza kuvaa jinzi na shati kwa wanaume unless ziwe za kike.
Ama ww asa unachekesha, utamaduni wa nani kukaa chini katika nyumba za ibada? Utamaduni wa sasa ivi watu wangekuwa wanakaa kivipi katika nyumba za ibada?

Sasa ndugu tunakuja apo ulipozungumzia kisasi. Katika uislam kisasi ni haki ya aliyedhulumiwa, lakini imependekezwa kusamehe, au hujui ilo? Muuaji na yeye auliwe sio akawekwe jela miaka 20 akitoka anakuja kukuua wewe, hujui hekma ilokuwepo lakini sikulaumu hukutaka soma, ulitaka hadithiwa tu.

Katika haki za bibaadamu umechemsha sana, lengo la human right ni kuifanya dunia ikawa at its weakest point, while islam to make the world at its strongest position. Chukulia mfano haki za waseng.e na wasagaji, iko sawa kwako iyo?
 
Nlicho kiandika ni kwamba uelewa kwa wakati huo ulikuwa chini na waliweza kuwaiga kwa kila kitu.Hivi uliwahi kumuona shehe siku ya sala ya ijumaa akiwakwenye mibari hajavaa kanzu? Au padre siku ya dominika hajavaa kanzu? ijapokuwa hayajaandikwa wanayaishi na wameutupa utamaduni wao.Hata lugha kuna baadhi ya watu wanadhani wasiposali kiarabu au wengine kilatini basi Mungu asikii.hayo yote ni mambo ya kitamaduni zaidi.

kuhusu suala la kukaa mfano Tanzania hukaa kwenye vigoda au viti vya ngozi kukaa chini kwenye mikeka si asili yetu.
Nmefurahi kuona kwamba unaelewa suala la human rights nathani kuwa unaelewa vizuri king Hamurabi na sheria za jino kwa jino ndizo hizo zipo bado kwenye baadhi ya vitabu vya dini na kwingine duniani bado wanazitekeleza nafikiri unaelewa vizuri kisa cha amina lawal wa nigeria.

Najua unayo mifano mingi zaidi ambayo binadamu anamtesa binadamu mwenzake kwa sababu ya wrong interpretation
ya vitabu hivyo. Yesu kristo Ndiye aliyeweza kufanya necessary amendment kwenye maandiko ya kale na kufanya tafsiri mpya inayokwensa sambamba na haki za binadamu na kusamehe. mfao alikataa swala la jino kwa jino, aliruhusu vyakula vyote na kukataza kuita haramu Kitu ambacho Mungu amekiumba ndio maana tunagonga NOAH bila matatizo yoyote

Kuhusu suala la haki za binadamu dunia imekuwa sehemu salama zaidi na hakuna mtu anayeweza sasa kufanya anavyoweza kuwadhuru dinadamu wenzake kama HITLER alivyofanya. kuna inherent right ya Humanitarian intervention,
kuna Right to protect,equality of people (including women) NA EQUALITY OF STATES. hizo ni chache lakini najua unajua zaidi maendeleo yaliyoletwa na human right kuanzia first generation
 
Hapana. Dini zimekuwapo kwa miaka mingi. Ndo maana hata serikali iliwatambua watu na dini zao ingawa haina dini. Mahakamani utaandika wewe ni dini gani. Kuhubiri ni kazi yao mapadri na mashehe. Tatizo ni aina ya mahubiri. Pia logic ya Mungu mmoja ni uongo mkubwa.

Nakuunga mkono 100%. Katu mungu wa waislamu sio Mungu wa Wakristu. Mungu wa wakristo ni spiritual ilhali mungu wa waislamu ni physical.
 
Akiri mbele za nani? wakati yeye ndio top of all? Kama kuna mungu anayekiri kuwa yeye ni mungu basi huyo sio ALFA NA OMEGA

lazima angesema kwamba yeye ni mungu kama hakusema basi mwamzushia

Hiyo si hoja, mtu mwenye uhakika na cheo chake hana haja ya kujitangaza kuwa yeye ni nani.

ipo hiyo haja

Kwa hiyo unathibitisha kuwa YHWY na Allah ni tofauti?

unajua maana ya neno allah , unajua wakristo waarabu mungu wanasemaje..?

Hivi wewe kwami Nyenyere amesema ulichokiandika?Kwanini mnapenda kudivert mambo na hoja?Dah!

wacha nidhamu ya woga , hoja yake haiwezi kukwepeka kujadili hii issue

Ila Yesu alisema yeye ni 'mtu'
Yohana 8:40 'Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, MTU ambaye nimewaambia iliyo kweli niliyoisikia kwa Mungu.

i hope wameona hii ....
 
Yohana 16:1-4....maneno hayo nimewaambia,msije mkachukizwa.Watawatenga na masinagogi,naam, SAA YAJA ATAKAPODHANIA KILA MTU AWAUAYE YA KUWA ANAMTOLEA MUNGU IBADA.NA HAYO WATAWATENDA KWA SABABU HAWAKUMJUA BABA WALA MIMI.LAKINI NIMEWAAMBIA HAYO,ILI MAKUSUDI SAA ILE ITAKAPOKUJA MYAKUMBUKE YA KUWA MIMI NILIWAAMBIA.ssikuwaambia hayo tangu mwanzo,kwa sababu nalikuwapo pamoja nanyi.

Nimeona kitu hapo, kumbe Yesu alishayasema haya kitambo.
 
Maombi yanahitajika,pasaka hii wameapa kuwaua wachungaji na maaskofu wa bara askofu mmoja wa dar katumiwa mesej
ya kifo.
 
tatizo serikali yetu inawaogopa sana hawa jamaa wamandevu na maushungi so inaogopa kumchukulia hatua huyo gaidi na muuaji sheikh ilunga sasa ili ibalance imetafuta kijisababu cha kijinga kwa baba askofu mpemba ni kama tu walivyoogopa kikipiga ban kiredio cha kichochezi cha IMAN FM wakaona wabalance na redio ya watakatifu KWANEEMA FM...but yetu macho ipo siku tutachoka na tutachoma vimisikiti vyao vyote tena vikiwa na watu ndani hata kama kuna mikeka tu...

Binafsi nimejionea DVDS nyingi sana ambazo zimekuwa zikiuzwa kama njugu katika nchi kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukiziangalia DVDS hizo unapata taabu kuamini kama vyombo vya dola kweli viko kazini. Matusi juu ya matusi, vitisho juu ya vitisho na mbaya zaidi kuna maonesho ya Wakristu kuchinjwa huku wachinjaji wakitaja jina la mungu wao.

Nahangaika sana kuona ukimya wa Serikali kuendelea kwa muda wote huo wakati funzo kubwa katika DVDS hizo lilikuwa ni watu kuchinja Wakristu. Nimesikia juu juu tu kuwa hii cd ya Askofu Mpemba inafundisha Wakristu kuchinja kuku, bata na wanyama na si kuchinja watu.

Mlioisikia naomba mnisaidie hapa, hivi ina maneno yepi ya uchochezi gani ndani yake? Naambiwa pia haikurekodiwa na Askofu peke yake... cd hiyo ya kuchinja wanyama na ndege nimepashwa kuwa inakatazwa isionekane wakati hizi za wachinja watu ziko mtaani...... hapo patamu Tanzania!!
Ni kizunguzunguzu au kizungumkuti hiki?
Aliyenayo anibonyeze nami niisikilize hata kama ni kwa kujificha chooni...
 
Baba maswali hayo wenyewe watakwambia mpaka uifahamu Philosophy.

Maria ni mama wa mungu, yusufu alikuwa boyfriend wa mamake mungu kisha ndo akawa mumewe! Ni simple kuelewa concept zao, ni kama Hollywood movies tu.

wakitolewa maandiko yanayowahusu wanamsingizia roho mtakatifu! Kaazi kwei kwei.
 
wakitolewa maandiko yanayowahusu wanamsingizia roho mtakatifu! Kaazi kwei kwei.

Maandiko yapi uliyoyatoa?,coz unachotaka kukijua huwezi kukielewa kamwe!Utatu mtakatifu wa Mungu yaani Mungu baba,mungu mwana(yesu)nafsi ya pili,Mungu roho(roho mtakatifu)nafsi ya tatu. So usikufuru kwamba tunasingizia roho mtakatifu
 
Mmeulizwa content ya CD ya Mchungaji Mpemba nyie mmeunda mada yenu...hahahaaaa

Soma coment vzr utaelewa haya yametokea wapi....by the way naona hakuna anaeijua hyo cd
 
Akiri mbele za nani? wakati yeye ndio top of all? Kama kuna mungu anayekiri kuwa yeye ni mungu basi huyo sio ALFA NA OMEGA
huna unaloelewa. mungu mwenyewe kwanye biblia anasema,nanukuu, mimi ni alfa na omega asema bwana mungu.sasa hapo unasemaje?
 
Nlicho kiandika ni kwamba uelewa kwa wakati huo ulikuwa chini na waliweza kuwaiga kwa kila kitu.Hivi uliwahi kumuona shehe siku ya sala ya ijumaa akiwakwenye mibari hajavaa kanzu? Au padre siku ya dominika hajavaa kanzu? ijapokuwa hayajaandikwa wanayaishi na wameutupa utamaduni wao.Hata lugha kuna baadhi ya watu wanadhani wasiposali kiarabu au wengine kilatini basi Mungu asikii.hayo yote ni mambo ya kitamaduni zaidi.

kuhusu suala la kukaa mfano Tanzania hukaa kwenye vigoda au viti vya ngozi kukaa chini kwenye mikeka si asili yetu.
Nmefurahi kuona kwamba unaelewa suala la human rights nathani kuwa unaelewa vizuri king Hamurabi na sheria za jino kwa jino ndizo hizo zipo bado kwenye baadhi ya vitabu vya dini na kwingine duniani bado wanazitekeleza nafikiri unaelewa vizuri kisa cha amina lawal wa nigeria.

Najua unayo mifano mingi zaidi ambayo binadamu anamtesa binadamu mwenzake kwa sababu ya wrong interpretation
ya vitabu hivyo. Yesu kristo Ndiye aliyeweza kufanya necessary amendment kwenye maandiko ya kale na kufanya tafsiri mpya inayokwensa sambamba na haki za binadamu na kusamehe. mfao alikataa swala la jino kwa jino, aliruhusu vyakula vyote na kukataza kuita haramu Kitu ambacho Mungu amekiumba ndio maana tunagonga NOAH bila matatizo yoyote

Kuhusu suala la haki za binadamu dunia imekuwa sehemu salama zaidi na hakuna mtu anayeweza sasa kufanya anavyoweza kuwadhuru dinadamu wenzake kama HITLER alivyofanya. kuna inherent right ya Humanitarian intervention,
kuna Right to protect,equality of people (including women) NA EQUALITY OF STATES. hizo ni chache lakini najua unajua zaidi maendeleo yaliyoletwa na human right kuanzia first generation
umesahahu kitu kimoja mwanaume kumuoa mwanaume mwenzake.yaani mchungaji anakuwa na mke mwanaume au mchungaji wa kiume anaolewa na mwanaume. yaani mungu wako hayo ndio anayoyataka
 
Maandiko yapi uliyoyatoa?,coz unachotaka kukijua huwezi kukielewa kamwe!Utatu mtakatifu wa Mungu yaani Mungu baba,mungu mwana(yesu)nafsi ya pili,Mungu roho(roho mtakatifu)nafsi ya tatu. So usikufuru kwamba tunasingizia roho mtakatifu
unasemaji kuhusu ndoa ya jinsia moja yaani mjungaji wa kiume anaolewa na mwanaume
 
Back
Top Bottom