Mliotaka kufahamu sura yangu Paulina

Mliotaka kufahamu sura yangu Paulina

nafikiri kuanzia leo itakuwa ni mwisho wako kumsema vibaya jiwe, hata kimoyomoyo
 
wewe.......
yani hapo ndo ulfkia mwisho kabisa? au poda ilkatia njiani?
 
Wengi mnoo mmekuwa mkija pm na kusema mnaumia sana hamnijui nipoje wengine mpaka mnatishia kuhama kabisa JamiiForums kwa kuwa naficha sura yangu sasa IPO hivii:

Nimeamua kuweka picha yangu halisi (AVATAR)
huyo ndyo Mimi PAULINA...
Mtakao ni judge hovyo I DON'T CARE...
Kumbe unalipa; tuonane basi.
 
Back
Top Bottom