King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sawa kabla sijaja PM ngoja niende kwenye kibanda cha M-pesa nikaweke Mpunga.Elfu 50 tu lakini. Sio bei sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabla sijaja PM ngoja niende kwenye kibanda cha M-pesa nikaweke Mpunga.Elfu 50 tu lakini. Sio bei sana
Ukishaweka nakupa namba ya wakala utumeSawa kabla sijaja PM ngoja niende kwenye kibanda cha M-pesa nikaweke Mpunga.
Sawa Mtoto wa Kitanga.Ukishaweka nakupa namba ya wakala utume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukishaweka nakupa namba ya wakala utume
Okey bebenadhani wajua vile mimi nafanya baby..mbona kawaida sana
Thanks baby kwa credits
Mambo ya kumpa namba afu asitume mpunga No No No[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kafanana na wengi kweli. Alianza kufanana na Faraja sasa hivi Bhokeumefanana na Bhoke wa dadaz ya eatv
hahaaaa kwahiyo ni matango poriWewe pacha wake Faraja Kota? Maana hiyo umeweka avatar tunajua ni picha yake.
Mh Kweli mapenzi ni upofuWewe kiwango. Umekamilika kila idara. Si naona hapo kuna curves kwenye hips... Mambo sio haba...
Kumbe unalipa; tuonane basi.Wengi mnoo mmekuwa mkija pm na kusema mnaumia sana hamnijui nipoje wengine mpaka mnatishia kuhama kabisa JamiiForums kwa kuwa naficha sura yangu sasa IPO hivii:
Nimeamua kuweka picha yangu halisi (AVATAR)
huyo ndyo Mimi PAULINA...
Mtakao ni judge hovyo I DON'T CARE...
asanteKumbe unalipa; tuonane basi.
naturalwewe.......
yani hapo ndo ulfkia mwisho kabisa? au poda ilkatia njiani?
asanteumefanana na Bhoke wa dadaz ya eatv