Mliowahi kudate na Msichana Mzungu Pitia hapa

Ningekuwa Mimi ningemuacha mke wangu kwa muda
 
Ngoja niweke kambi maana nataka kuomgeza mke mzungu
Ongeza Mkuu; hautojutia....huyo jamaa anazungumzia wazungu wa Ulaya. Wako watoto wa kizungu hapo South Africa; wengine Namibia na Mozambique, hao ndio utaenjoy zaidi. Maana wana tabia za kizungu na za ki-afrika pia. Mfano - wanajua kukata viuno vizuri - kuliko hata wa-afrika wenzetu....
 
Soon ntaenda kwa waziri mwenye dhamana kukabidhiwa bendera ya taifa.

#MaendeleoHayanaChama
Waziri gani sasa atakukabidhi bendera? Waziri wa Michezo (Mchengerwa??) au Maendeleo ya jamii (Gwajima??) au wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa (MulaMula)?
 
Kumbe ulikuwa jizee tayari?
 
Mozambique kuna Wazungu? Mbona TZ wapo mkuu?
 
Valentina, Yelena na Olga...na yule mtunisia, hivi watunisia ni wazungu, cuz she was as white as wazungu..dadeq!

Ujana una mambo mengi sana...
Ukiwa mzee unachungulia nyuma na kuona sasa ni wakati wa kupumzisha mwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…