Mliowahi kudate na Msichana Mzungu Pitia hapa

Ningekuwa Mimi ningemuacha mke wangu kwa muda
Dah umenikumbusha mbali mtoto Abigail alinipenda kuliko kawaida,kwa mara ya kwanza ndio niliona mtoto wa kizungu anataka kujiua kisa kapuku mimi sitosahau....Demand yake ilikuwa ni moja tu nimuoe kisha tukaishi moja kati ya nchi ya Scandinavia tatzo ni kwamba mimi nilikuwa nishaoa na nina familia baada ya kumfichaficha ukweli ikabidi siku moja nimtobokee tu kwamba am arleady taken hapo ndipo mawazo ya kutaka kuchukua maamuzi magumu yalivyompata..She is educated woman,Beautiful,Rich na wife material kabisa,sifa ulizozitaja hapo zote wanazo,Kulia ni mimi kushoto ni yeye enzi zetu somewhere in Tz

View attachment 2198556
 
Ngoja niweke kambi maana nataka kuomgeza mke mzungu
Ongeza Mkuu; hautojutia....huyo jamaa anazungumzia wazungu wa Ulaya. Wako watoto wa kizungu hapo South Africa; wengine Namibia na Mozambique, hao ndio utaenjoy zaidi. Maana wana tabia za kizungu na za ki-afrika pia. Mfano - wanajua kukata viuno vizuri - kuliko hata wa-afrika wenzetu....
 
Soon ntaenda kwa waziri mwenye dhamana kukabidhiwa bendera ya taifa.

#MaendeleoHayanaChama
Waziri gani sasa atakukabidhi bendera? Waziri wa Michezo (Mchengerwa??) au Maendeleo ya jamii (Gwajima??) au wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa (MulaMula)?
 
Dah umenikumbusha mbali mtoto Abigail alinipenda kuliko kawaida,kwa mara ya kwanza ndio niliona mtoto wa kizungu anataka kujiua kisa kapuku mimi sitosahau....Demand yake ilikuwa ni moja tu nimuoe kisha tukaishi moja kati ya nchi ya Scandinavia tatzo ni kwamba mimi nilikuwa nishaoa na nina familia baada ya kumfichaficha ukweli ikabidi siku moja nimtobokee tu kwamba am arleady taken hapo ndipo mawazo ya kutaka kuchukua maamuzi magumu yalivyompata..She is educated woman,Beautiful,Rich na wife material kabisa,sifa ulizozitaja hapo zote wanazo,Kulia ni mimi kushoto ni yeye enzi zetu somewhere in Tz

View attachment 2198556
Kumbe ulikuwa jizee tayari?
 
Ongeza Mkuu; hautojutia....huyo jamaa anazungumzia wazungu wa Ulaya. Wako watoto wa kizungu hapo South Africa; wengine Namibia na Mozambique, hao ndio utaenjoy zaidi. Maana wana tabia za kizungu na za ki-afrika pia. Mfano - wanajua kukata viuno vizuri - kuliko hata wa-afrika wenzetu....
Mozambique kuna Wazungu? Mbona TZ wapo mkuu?
 
Valentina, Yelena na Olga...na yule mtunisia, hivi watunisia ni wazungu, cuz she was as white as wazungu..dadeq!

Ujana una mambo mengi sana...
Ukiwa mzee unachungulia nyuma na kuona sasa ni wakati wa kupumzisha mwili.
 
Back
Top Bottom