Mliowahi kudate na Msichana Mzungu Pitia hapa

Umenikumbusha mzee mmoja anakujaga na familia yake kule Coco Beach ana mke mzungu.
Ana watoto 6 na mmoja tupo tumboni.
Kila mtu akienda anamshangaa yule mzee na mkewe maana kamzalisha vya kutosha
 
Wa kike wamefata kwa mama Hadi nywele na uweusi kwa mbali.
Ila wakiume Wana rangi nyeusi japo sio Kama baba yao.
Kila jumapili uwa wanakwenda pale Coco Beach kwenye mapango kule kuna kibanda uwa wanakaa na familia yake.
Mimi na rafiki yangu uwa tunapenda kumuita "carribean family"
Daah mwamba ametisha


Kuna mtoto aliyechukua kwa mama ? Au black gene ndio inakuwa dominant siku zote ?
 

Wewe sio mjasiliamali!
Kaskazini vijana hawaangalii kama wameoa au la linapokuja suala la fursa.

Kuna jamaa alikamata mzungu wake ambaye yupo vzr kiuchumi ikabidi amshirikishe mkewe, wakakubaliana! Kwa hy mzungu anajua jamaa hajaoa.

Uzuri akija Tanzania anakaa kama wiki 1 anarudi zake kwao. Mke anamuacha jamaa akakae na mzungu weka alikopangisha then mzungu akiondoka jamaa anarudi kwenye familia.

Jamaa ameinvest vya kutosha kutoka kwa anachokipata toka kwa mzungu, dunia ina mambo mengi[emoji28]
 
Mke wake ni wale wazungu njaa ? Au ana mawe ?
 
Niliwahi ku-date naye mmoja wakati niko chuo. Walikuwa wamekuja kwa ajili ya tafiti za wanyama pori (Mikumi). Alikuwa anaoga kama mara 1 katika wiki mbili, na sikuwahi kumwona akipiga mswaki.
 
Niliwahi ku-date naye mmoja wakati niko chuo. Walikuwa wamekuja kwa ajili ya tafiti za wanyama pori (Mikumi). Alikuwa anaoga kama mara 1 katika wiki mbili, na sikuwahi kumwona akipiga mswaki.
Vipi mbususu ulilamnishwa kijana wangu ?
 
Daaaah kmmk usitake nihamie huko. Hao ndio wanawake kwanza
 
Ni watamu eeeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…