Mliowahi kudate na wazungu, nipeni muongozo

Mliowahi kudate na wazungu, nipeni muongozo

Epuka uwongo, acha janja janja za kujikuta born town kumbe mzaliwa wa mwanambaya

Outings nenda nae maeneo ya kawaida ungekua Moshi Kuna maeneo mengi ya kumpeleka milimani kule, mitoni huko mkaogele mto weru weru, maporomoko mbali mbali pita mpaka marangu ndani ndani


Kama anaelewa kitu Cha Arusha usimbanie msambazie ya kutosha kama mazingira hayaeleweki nicheki PM debe Moja nakuuzia 40k kitu piruuuu

Kama ni kitandan piga show za vurugu mingi mingi ustaaarabu zero slapping za Karne ya 18 vuteni bangi trombranenri

Sema angalia alivo alivo......Akili za kupewa hz saa zngn haziaply Kila mahali
Mkuu njoo pm tuyajenge nahitaji bange hata debe tatu maana huku Dom mzigo umekuwa adimu halafu hauna quality kama zamani nahisi mapusha wakongwe hawapo tena
 
kuna girl mmoja wa kizungu hapa , foreigner hajui hata Kiswahili, naona anaingia kwenye 18 zangu.

Naombeni tips wakuu, vitu gani zaidi niepukane navyo ili nimnase mazima huyu mrembo.

Natanguliza shukrani.
Kwani wazungu wote wako sawa?

Unanikumbusha siku moja nilikwenda ofisini kwa mshua nimempitia turudi home.

Nimefika pale nimekuta watu kibao wanasubiri kuonana naye.

Basi anakuja chumba cha kungojea, anawasalimia, anakutana nao ofisini kwake. Kwa hiyo anakuwa kashajua kuna nani na nani anasubiri kumuona.

Basi mara akaja mzungu mmoja. Sekretari akamfanya yule mzungu aliyekuja mwisho, awe ndiye mtu wa kwanza kuonana na mshua. Kwa sababu kamuona huyu mzungu.

Basi, mshua akaongea naye muda si mrefu, akamtoa.

Sasa mwisho kabisa, watu wameisha, mshua akawa anampa somo yule sekretari. Akamwambia, yule mzungu uliyemuwahisha kabla ya watu wote ni tapeli tu, hana deal lolote, hao watu weusi uliowaruka wengine wana ma deal makubwa sana. Usione mtu mzungu tu ukafikiri ni mfanyabiashara mkubwa kwa sababu ni mzungu tu.

Sasa naona hata mtoa mada anafikra zile zile za "wazungu wote wako sawa".

Wakati kuna wazungu wa aina tofauti tofauti sana.
 
Ukisoma Comments #1 hadi #38 inaonesha wengi humu wamedate Wazungu, kasoro mimi tu ninaye endelea kula vya nyumbani 🤪🙌
Kula vya home mkuu hamna mzungu hapo,ni hawa mapopo Yahoo boys.
Wako dunia nzima.wanaiba profile za date chat anajifanya mwanamke ni yeye.
Kesho utaombwa tu acc au utatuma detail unapigwa hapohapo na humsikii tena.
From experience mi nishapambana na mmoja mpk akaelewa somo.
Hakujua alipolala mi ndio nilikotoka.
Nimemkuta Vancouver na vifaa vyake vyote.
 
kuna girl mmoja wa kizungu hapa , foreigner hajui hata Kiswahili, naona anaingia kwenye 18 zangu.

Naombeni tips wakuu, vitu gani zaidi niepukane navyo ili nimnase mazima huyu mrembo.

Natanguliza shukrani.
Kuna dada mmoja volunteer kutoka USA, alinizoea mnoo mie hata sikuwai mtamani, akawa anaomba twende out, alikuwa anapenda sana Savannah, basi mazoea yalikuwa makubwa, nilikula kama mala tatu, akaja akasepa, kuna siku alinibless vi dollars around $800, bila kumuomba, sema alikuwa anapenda rough sex

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom