Mliowahi kudate na wazungu, nipeni muongozo

Mliowahi kudate na wazungu, nipeni muongozo

Kula vya home mkuu hamna mzungu hapo,ni hawa mapopo Yahoo boys.
Wako dunia nzima.wanaiba profile za date chat anajifanya mwanamke ni yeye.
Kesho utaombwa tu acc au utatuma detail unapigwa hapohapo na humsikii tena.
From experience mi nishapambana na mmoja mpk akaelewa somo.
Hakujua alipolala mi ndio nilikotoka.
Nimemkuta Vancouver na vifaa vyake vyote.
Ulitisha Mkuu kumkomesha huyo PakaPori

Miaka fulani ya Ujana niliwahi onja tamu ya Kihindi, nimegundua hakuna nanii tamu kama za Kibongo hasa linapokuja kwenye Joto na ufundi 🙈🏃🏃🏃
 
Haha!
Ila humu ndani ndio maana haitakiwi mfahamiane.
Nimewaza hii comment angeandika mtu nayemjua.. ningemvutia picha na kubaki kucheka sanaaa
Ukute ni mmeo. Lkn akifika home mpaka umboost. Yaani humu kila mtu yuko vzr. Uongo tupu
 
Back
Top Bottom