Mliowahi kudate na wazungu, nipeni muongozo

Haya madesa yanayotolewa humu tungeyatumia kwa dada zetu wa umatumbini wange enjoy maisha sna na kutufanya tuishi miaka mingi.

Asee tutafute pesa wakuu.
 
Kuna dada mmoja volunteer kutoka USA, alinizoea mnoo mie hata sikuwai mtamani, akawa anaomba twende out, alikuwa anapenda sana Savannah, basi mazoea yalikuwa makubwa, nilikula kama mala tatu, akaja akasepa, kuna siku alinibless vi dollars around $800, bila kumuomba, sema alikuwa anapenda rough sex

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Brother sio wewe ambae ni dalali wa nyanya dumila?samahani kama nimekufananisha
 
Mshenzi moja alipata bahati akaichezea sasa anajuta.
Nina shoga yangu mzungu kapata kibwana hapa mjini nyooolooo sitokaaaga nikapendaga vitoto vidogo shoga yangu nae alichemsha.

Basi kibwana kikahamia kwake, kazi ni kula na kunya basi kikaanza kutaka kumuendesha mzungubwa watu, mara kitake akipe kadi ya benki, mara kitake akifungulie duka, mara kije usiku kimelewa na marafiki zake, mara kikilewa kipasuwe vitu ndani.

Maskini shoga hajui hata kiswahi, yaani ilikuwa ni manyanyasa mzungu alikoma.

Siku moja akaniambia hapo analia balaa anavyoteswa humo ndani wakati kibwana chenye hakina hata mia kina laptop na simu.

Kibwana kishenzi uswahili siku moja kikataka kujua shoga balance ya hela benk mzungu kagoma kibwana kikavunja vitu vya thamani utadhani kilivinunua.

Shoga akaja analia akitaka kuondoka nchini siku hiyo.

Nikamwambia nenda kwanza hotelini utulize akili huyu panya akilala njaa siku tatu lazima ajuwe umuhimu wako.

Tukafanya hivyo, njaa haina adabu vyakula vilivyoisha ndani nikaanza kumtafuta kila kona.

Ahaaaa na vile kodi ilikuwa inaisha mwezi unaofata? Ilibaki story sasa hivi kibwana kimerudi kupanga ushwazi kiliishazoea kuishi nyumba nzima. Ahaaaa.

Mleta mada mimi ni dada yako mkubwa nisikilize kwa makini, hakuna mahusiana yenye furaha yenye mchanganyiko wa wanaume mwafrika na mwanaume mzungu, hiyo couple haipo, na kama ipo mmoJa wapo ni mtumwa hana cha kufanya anapenda dezo lazima anyenyekee.

Mleta mada kwa uzoefu, couple ya mwanamke mwafrika na mwanaume mzungu ndo kapo yenye furaha duniani when it comes to mixed couples. Ingawa sio wote ila %98 wana furaha.

Mleta mada najua njaa zako ndo zinakuweka hapo, size yako ni waafrika wenzako basi tu njaa zinakusumbua.

Mwanaume anae jitambua wa kiafrica hawezi oa au date mwanamke mzungu.

Sisi wanawake mara nyingi ndo tunafaidi wanaumme wa kizungu

Kaka zangu mlioko Majuu njooni hapa mni prove wrong!.
 
Basi Mimi nipo hapa mzungu wako njoo ufaidi. Ni mzungu wa roho lakini sio mzungu pori Wala mzungu wa mwisho
 
Niliwahi kukutana na mademu wawili wa kizungu nikawala wote kwa wakati mmoja kwa akili za kipombe, tukaendeleza libeneke wiki nzima,tangu 2019 hadi leo wapo kwao na bado tunawasiliana maisha yanaenda,sijui nilikula makahaba au pombe zao tu hata sielewi. Ila nyuchi lainiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikutana nao wapi mkuu
 
Shida ya wabongo wengi ubongo upande mmoja umejaa maji.

Kila mtu anawaza kukazana (Ng'ono),
umepata zari kama hili tumia hii nafasi kupata VISA na hata ikiwezekana hati ya ukazi ya nchi huyo dada anatokea

Kama anatoka umoja wa ulaya au USA anza kumchomekea na wewe uzame majuu. Connection za misafara serikali huna sasa unaenda nje lini??

Jitahidi upate VISA kipitia mgongo wa yuyo dada usepe zako majuu, huko ukiwa hata dereva wewe ni mtu mweingine

CCM hapa tanzania haina mpango wa kuachia madaraka
What a Comment.....
 
Mshenzi moja alipata bahati akaichezea sasa anajuta.
Nina shoga yangu mzungu kapata kibwana hapa mjini nyooolooo sitokaaaga nikapendaga vitoto vidogo shoga yangu nae alichemsha.

Basi kibwana kikahamia kwake, kazi ni kula na kunya basi kikaanza kutaka kumuendesha mzungubwa watu, mara kitake akipe kadi ya benki, mara kitake akifungulie duka, mara kije usiku kimelewa na marafiki zake, mara kikilewa kipasuwe vitu ndani.

Maskini shoga hajui hata kiswahi, yaani ilikuwa ni manyanyasa mzungu alikoma.

Siku moja akaniambia hapo analia balaa anavyoteswa humo ndani wakati kibwana chenye hakina hata mia kina laptop na simu.

Kibwana kishenzi uswahili siku moja kikataka kujua shoga balance ya hela benk mzungu kagoma kibwana kikavunja vitu vya thamani utadhani kilivinunua.

Shoga akaja analia akitaka kuondoka nchini siku hiyo.

Nikamwambia nenda kwanza hotelini utulize akili huyu panya akilala njaa siku tatu lazima ajuwe umuhimu wako.

Tukafanya hivyo, njaa haina adabu vyakula vilivyoisha ndani nikaanza kumtafuta kila kona.

Ahaaaa na vile kodi ilikuwa inaisha mwezi unaofata? Ilibaki story sasa hivi kibwana kimerudi kupanga ushwazi kiliishazoea kuishi nyumba nzima. Ahaaaa.

Mleta mada mimi ni dada yako mkubwa nisikilize kwa makini, hakuna mahusiana yenye furaha yenye mchanganyiko wa wanaume mwafrika na mwanaume mzungu, hiyo couple haipo, na kama ipo mmoJa wapo ni mtumwa hana cha kufanya anapenda dezo lazima anyenyekee.

Mleta mada kwa uzoefu, couple ya mwanamke mwafrika na mwanaume mzungu ndo kapo yenye furaha duniani when it comes to mixed couples. Ingawa sio wote ila %98 wana furaha.

Mleta mada najua njaa zako ndo zinakuweka hapo, size yako ni waafrika wenzako basi tu njaa zinakusumbua.

Mwanaume anae jitambua wa kiafrica hawezi oa au date mwanamke mzungu.

Sisi wanawake mara nyingi ndo tunafaidi wanaumme wa kizungu

Kaka zangu mlioko Majuu njooni hapa mni prove wrong!.
Huu ni uongo wa Karne
 
Back
Top Bottom