sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
wapo wazi na direct, omba namba utapewa wala hawaringi wala usijisifie kupewa namba, ni tofauti na style yetu wabongo kuomba namba tu unaweza zungushwa alafu sisi mtongozo huwa unaanzia kwenye simu na utakubaliwa ama kukataliwa kwenye simu, wao wazungu hawafagilii vocal za simu, wanapenda uweke hisia zako wazi uso kwa uso yani ana kwa ana, hio namba ukipewa mtext uwe direct kwamba unataka kutoka nae dinner date, hakuna haja ya kona nyingi, chagua restaurant tulivu mwende usiku mkale huko huku unampa somo, Ukitoswa usichukie, Huwa wapo direct !!
Kwao sex sio ishu kabisa, Mahusiano kwao ni kila mtu kujitoa kwa mwenzake kupeana muda wa kuspend pamoja, kuwasiliana, kufanya maamuzi pamoja, n.k. hawanaga mambo ya kuvumiliana ni chap chap mnamalizana, ila uzuri wao huwa hawanaga visirani mkiachana
Tatizo la wazungu na sisi ni jamii tofauti sana, ni kama kuku na kanga, Kuhusu mambo ya kupika, kufuliwa nguo hayo utayafanya wewe mwenyewe, Mila zetu nyingi huona zimepitwa na wakati,
Kama ni kuhusu sex wewe piga tu ufanye utalii wa ngozi uwakilishe mabaharia wa bongo lakini usije kuingia kichwa kichwa ukamuoa