Mliowahi kudate na wazungu, nipeni muongozo

Mliowahi kudate na wazungu, nipeni muongozo

Kuna girl mmoja wa kizungu hapa, foreigner hajui hata Kiswahili, naona anaingia kwenye 18 zangu.

Naombeni tips wakuu, vitu gani zaidi niepukane navyo ili nimnase mazima huyu mrembo.

Natanguliza shukrani.
mm wa kwangu alikua binti mdogo tu ninae 5yrs, ila nimeoa home bado niko nae, sijawahi hitaji chochote toka kwake, hata bills mara kibao nilikua nakataa asilinilipie, Juz juz tu ndo naona PayPal yangu imeanza kusoma miamala mfululizo, sijui kuna nn mbeleni, miaka yote ni kunjunjana tu na mitoko tukikutana maeneo mbalimbali ya ulimwengu,
alishawah kuniletea story kibao za KGB, mafian cartels, tukakosana, anaspend kuliko anavyofanya kazi, lakin baadae alinichek na kuniunganisha na washikaji wa Kwa Puttin, sikua interested pia, so hakuna jipya lolote, ila kama ni kijana unajitafuta take advantage huwez jua mkuu
japo unaweza kua unatumika tu, kazi yake ikiisha anasepa anakuacha mataa, si unajua ukimchukua umempa uhalali wa kukaa bongo bila bugudha
 
Shida ya wabongo wengi ubongo upande mmoja umejaa maji.

Kila mtu anawaza kukazana (Ng'ono),
umepata zari kama hili tumia hii nafasi kupata VISA na hata ikiwezekana hati ya ukazi ya nchi huyo dada anatokea

Kama anatoka umoja wa ulaya au USA anza kumchomekea na wewe uzame majuu. Connection za misafara serikali huna sasa unaenda nje lini??

Jitahidi upate VISA kipitia mgongo wa yuyo dada usepe zako majuu, huko ukiwa hata dereva wewe ni mtu mweingine

CCM hapa tanzania haina mpango wa kuachia madaraka
You made my day!!
 
Mshenzi moja alipata bahati akaichezea sasa anajuta.
Nina shoga yangu mzungu kapata kibwana hapa mjini nyooolooo sitokaaaga nikapendaga vitoto vidogo shoga yangu nae alichemsha.

Basi kibwana kikahamia kwake, kazi ni kula na kunya basi kikaanza kutaka kumuendesha mzungubwa watu, mara kitake akipe kadi ya benki, mara kitake akifungulie duka, mara kije usiku kimelewa na marafiki zake, mara kikilewa kipasuwe vitu ndani.

Maskini shoga hajui hata kiswahi, yaani ilikuwa ni manyanyasa mzungu alikoma.

Siku moja akaniambia hapo analia balaa anavyoteswa humo ndani wakati kibwana chenye hakina hata mia kina laptop na simu.

Kibwana kishenzi uswahili siku moja kikataka kujua shoga balance ya hela benk mzungu kagoma kibwana kikavunja vitu vya thamani utadhani kilivinunua.

Shoga akaja analia akitaka kuondoka nchini siku hiyo.

Nikamwambia nenda kwanza hotelini utulize akili huyu panya akilala njaa siku tatu lazima ajuwe umuhimu wako.

Tukafanya hivyo, njaa haina adabu vyakula vilivyoisha ndani nikaanza kumtafuta kila kona.

Ahaaaa na vile kodi ilikuwa inaisha mwezi unaofata? Ilibaki story sasa hivi kibwana kimerudi kupanga ushwazi kiliishazoea kuishi nyumba nzima. Ahaaaa.

Mleta mada mimi ni dada yako mkubwa nisikilize kwa makini, hakuna mahusiana yenye furaha yenye mchanganyiko wa wanaume mwafrika na mwanaume mzungu, hiyo couple haipo, na kama ipo mmoJa wapo ni mtumwa hana cha kufanya anapenda dezo lazima anyenyekee.

Mleta mada kwa uzoefu, couple ya mwanamke mwafrika na mwanaume mzungu ndo kapo yenye furaha duniani when it comes to mixed couples. Ingawa sio wote ila %98 wana furaha.

Mleta mada najua njaa zako ndo zinakuweka hapo, size yako ni waafrika wenzako basi tu njaa zinakusumbua.

Mwanaume anae jitambua wa kiafrica hawezi oa au date mwanamke mzungu.

Sisi wanawake mara nyingi ndo tunafaidi wanaumme wa kizungu

Kaka zangu mlioko Majuu njooni hapa mni prove wrong!.
Hao wanaume wa kizungu mbna nao kizungumkutii?

Mkitoka out eti bill juu yangu, ukiomba pesa utaskia lete projects, projects ya nyokooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwenye sex enyewe sio mitamu, kwan ina baridi utadhani panga lililolala njee. Mfyuuuuh zao.
 
Hao wanaume wa kizungu mbna nao kizungumkutii?

Mkitoka out eti bill juu yangu, ukiomba pesa utaskia lete projects, projects ya nyokooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwenye sex enyewe sio mitamu, kwan ina baridi utadhani panga lililolala njee. Mfyuuuuh zao.
😅😅 Kumbe mkiwaomba hela wanawaambia mpeleke projects, huo mfumo mzuri sana , na bongo ufike
 
Hao wanaume wa kizungu mbna nao kizungumkutii?

Mkitoka out eti bill juu yangu, ukiomba pesa utaskia lete projects, projects ya nyokooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwenye sex enyewe sio mitamu, kwan ina baridi utadhani panga lililolala njee. Mfyuuuuh zao.
Utadateje mzungu serengeti boy my dia? Date 45+ hutojuta. Hakuna mwanaume anajali kama mzungu akishakuelewa, hàyo mengine ni story. Usimuombe acha akianza kujiongeza hutojuta.

Wakati ukifika naleta hapa ushuhuda
Ahaaaa.

Ahaaaaaa nimecheka loh!
 
Back
Top Bottom