Mkuu siko kinyume na wewe ila ninaamini kupitia kiinua mgongo utakachopata kinaweza kukufanya uwe miongoni mwa matajiri.
Jiulize huko uingereza unaenda fanya nini??,kwanini??, Nawaza kwa umri ulionao sijui itakuwaje??.
Ukiniambia biashara nitakushangaa??,unazijua sera zao za uchumi kwa wageni??,mifumo ikoje ushindani??
Kwanini usiwekeze hapahapa tanzania,ukifikiri na kutenda ipasavyo basi hajtaanguka.
Unaeza fungua kiwanda hata kidogo Cha sabuni za unga au tomato kisha ukajitangaza coz the market is still there boss.
Fanya hata kilimo coz it's the most promising future of tommorow, ukatafuta soko lako, wateja wako.
huwa sioni umuhimu wa kukimbilia mbele ambako unaenda kuwa Kama mbwa aliyekosa umiliki.