mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Nimestaafu mwezi uliopita
Nasubiri kiinua mgongo changu kama milioni kadhaa.
Napenda sana mpira nikiangalua EPL napata wazimu.
Natamani nikaishi England nifie huko
Kinachonishangaza kuna uzi wa magari ulikuja humu jamaa anauliza kwa nini waingereza hawanunui magari ya landrover na range,kuna wachangiaji kadhaa walicomment kuwa England ni masikini hawawezi kununua hayo magari,namkumbuka PRONDO kama mchangiaji mmoja wapo.
Je, ni kweli waingereza ni masikini
Maisha yangu yote najua waingereza wako vizuri kiuchumi