Mliowahi kuishi Ulaya: How does it feel kutembea Mjini bila kero za Bajaji, Bodaboda na Machinga?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kwa sababu, kwa Tanzania sio Majiji Makubwa wala Miji Midogo, iyo privilege tushaisahau na wengine hawatakaa wakaipata kamwe.

How does it feel kutembea sehemu kama hii?

IMG_8818.png
 
Kwa sababu, kwa Tanzania sio Majiji Makubwa wala Miji Midogo, iyo privilege tushaisahau na wengine hawatakaa wakaipata kamwe. View attachment 3597434
How does it feel kutembea sehemu kama hii?
It a huge different jamani very very huge. Yaani kuna peaceful feelings fulani unaipata. Lakini pia unajiuliza how come nyumbani wame allow this?

Is not sipend watu wasiendeshe lakini ni kama iko so unegulated, anybody anaweza nunua anytime akasajili akawa tumia hapo hapo.
 
Inafurahisha kuishi miji yenye kelele na pilikapilika za uswahilini.Ndiyo maana hadi waungwana wameamua kuanzisha kabisa vipindi vya redio na televisheni ili kujumuika uswahili wetu.Miji isiyo na kelele na hekaheka ni kama miji iliyokufa tu ingawa wao huita ustaarabu.
 
Umezoea kelele sana but trust me miji ambayo haina heka heka sio kwamba imekufa, inategemea na mafanikio na jamii ya watu wanaoishi hapo. Wana namna yao wana enjoy life and it amaizing

Wazaramo ambao culture yao imeathiriwa na tamaduni za kiarabu na kihindi ndio wanaopenda kubanana na kelele. Ila ukienda nchi ambazo hawajaathiriwa na tamaduni hizo its different
 
Haiwezekani wote tuishi kwa kupoa kama tunaumwa baridi yabisi na kutia huruma ambayo tutajidai tunatafakari mambo.Ni hekaheka tu hadi kieleweke.
 
Inafurahisha kuishi miji yenye kelele na pilikapilika za uswahilini.Ndiyo maana hadi waungwana wameamua kuanzisha kabisa vipindi vya redio na televisheni ili kujumuika uswahili wetu.Miji isiyo na kelele na hekaheka ni kama miji iliyokufa tu ingawa wao huita ustaarabu.
Kama unaishi na familia au hata kama ni makazi, vurugu kama hizi siyo nzuri. Labda kwa mtu aliyezaliwa kwenye mazingira kama hayo lakini kwa mtu niliyekulia vijijini kama mimi, kwenye miti, hewa nzuri, unapanda na kufuga unachotaka, sehemu kama hizo hapana. Labda kama una kilinge cha kutafuta riziki ya kila siku na jioni unakwenda zako pembeni ya mji kupumzika.
 
Wazungu pamoja na kwamba hatuwapendi na walitutawala, lakini ni jamii iliyostarabika kwa asili.
Ustaarabu ni kitu wenzetu huzaliwa nacho. Nenda Scandinavian countries, ukifika tuu utajua hapa nipo ulaya, hata mindset yako hubadirika. 😊
 
Taja raha za afrika
1. Social life ya Africa ni nzuri. Watu wako karibu, kila kitu ni rahisi (kama una kipato)
2. Africa kama uko vizuri ki-uchumi unakuwa kama mfalme
3. Watu wako relaxed, hakuna uharaka kwenye kufanya kazi, sex nje nje,
3. Tuna maisha ya asili na vyakula vya asili, hatubanwi tunapofanya makosa madogo madogo na hata ukifanya scandal kubwa kama una fedha ni rahisi kuinyamazisha.
 
Wazungu pamoja na kwamba hatuwapendi na walitutawala, lakini ni jamii iliyostarabika kwa asili.
Ustaarabu ni kitu wenzetu huzaliwa nacho. Nenda Scandinavian countries, ukifika tuu utajua hapa nipo ulaya, hata mindset yako hubadirika. 😊
Mindset ndio kitu Muafrica amekataa kubadirika. Na mara nyingi watu waliokuzunguka ndio wanakufanya na wewe ubehave hivyo. Ukiwa Mitaa ya Temeke baada ya Kunywa Maji utatupa chupa, ila ukienda Mlimani utatafuta dustbin.
 
Inafurahisha kuishi miji yenye kelele na pilikapilika za uswahilini.Ndiyo maana hadi waungwana wameamua kuanzisha kabisa vipindi vya redio na televisheni ili kujumuika uswahili wetu.Miji isiyo na kelele na hekaheka ni kama miji iliyokufa tu ingawa wao huita ustaarabu.
Mke wangu amegoma kuhamia nyumba ya mtaa wa Kishua, amesema yeye hayo maisha hakuishi kama Mchawi hayampi furaha.

Na Mimi nampa anavyotaka Sina Makuu, nyumba napangisha tu
 
Back
Top Bottom